kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,054
- 170
kama hawa wakina abood basi kampuni ifutiwe leseni..
mh sidhani!sio rahisi!hili basi linawapeleka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama kule dodoma na wanafika salama kabisa!ni ajali tu na dereva atatiwa nguvuni kwa mahojiano.
Alafu msipende kufuatilia biashara za mbunge na mchangiaji wa chama chetu magamba.