kwa mtindo huu ajali zitateketeza wengi sana..yani bongo unaweza kutoka home asubuhi usijue kama utarudi nyumbani salama jioni kwa aina hii ya udereva..Agrrr!
Barabara zetu zinatisha BJ! We acha tu!

Ingekuwa inawezekana ni bora kutembea kwa miguu tu..yaani ukipanda gari ni roho juu juu tu..