Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,435
- 166,879
Nilidhani tunapewa huduma ya usafiri, kumbe na kifo pia kinakuwa kimeandaliwa kwa sababu mabos wameshamalizana na wakubwa. Inatia simanzi sana.
Nchi hii imewekwa kwenye mifuko ya wajanja wachache