Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Nimeona jina la legendary player Zamoyoni Mogella.. kwa vile jina hilo ni very distinct sijui kama ni yule yule au la kwani umri sidhani atakuwa na miaka 36...
Daladala lililohusika lilikuwa limefungiwa tangu 2007. Lilikuwa likifanya kazi usiku tu
Ajali huwa ni bahati mbaya ila Tanzania zimezidi na zinamaliza watu kwakweli.
Labda kuna kalaana fulani hivi.!
Mara nyingi zinapotokea ajali. Jamii imekuwa na tendency ya kumlaumu dereva pekee kwa mwendo mkali. Hivi kati ya dereva, wamiliki wa mabasi na magari na abiria ni kundi lipi linapenda mwendo mkali kuliko jingine? Kwanini dereva akiendesha kwa mwendo wa Km 80/h kama inavyotakiwa na sheria wamiliki wa magari humwadhibu dereva kwa kumtimua kibarua na abiria huhama na kukimbilia ktk mabasi yanayokwenda kasi zaidi? Pengine our society needs to travel faster more than our laws and infrastracture can bear. Naomba mawazo yenu wana JF