Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 200
Ni kweli sheria inataka mabasi ya abiria kutembea kwa maximum speed ya 80 Kms/h but the reality is yanatembea more than that na makundi yote ya jamii yanafurahia suala hilo. Mabasi kutoka nchi zingine za SADC yameandikwa maximum speed kati ya 100 na 120 Kms/h. Hivyo zipo nchi maximum speed kwa passengers buses ni kubwa kuliko sisi. Inawezekana sheria zetu zimepitwa na wakati sana kiasi cha jamii kuwa na urge of travelling faster than the law can provide.
Tazama wakati waheshimiwa wabunge na mawaziri wanapokwenda to and fro Dodoma magari yao yanatembe between 140 to 180 Kms/h hata katika sehemu zinazotakiwa kwenda 50 Kms/h.
Kama watunga sheria nao hawazingatii sheria tunatakiwa kufanya nini.Niliwahi kuzungumza na RTO wa mkoa mmoja akakiri kuwa akiendesha kwa 80Kms/h kwa muda mrefu atalala usingizi barabarni kwa kuwa it is too boring.
Je kuendelea kujidanganya kwa kumsukumia lawama zote dereva ndio suluhisho sahihi la tatizo hili ambalo chanzo chake ni sisi wenyewe?