Mbona maeneo ya kimara upo!!.
kimara ipi hiyo,me mwenyewe mkazi wa uku na bado umeme kwetu shida.
Mbona maeneo ya kimara upo!!.
dharura zimezidi sasa... hata watoto wetu itabidi kuwaita dharuraTutaishi maisha ya kubangaiza na wasiwasi hadi lini??
Huu umeme imekuwa ni kansa sasa.
No wonder mpango wa dharura upo njiani....
Badra Masoud ameshatoa tamko kupitia Clouds FM na ametoa hofu kuwa hakuna tatizo lolote.
Tatizo lipo kwa kuwa almost nchi nzima ipo gizani na yameshapita masaa 5 tokea hii kitu itokee.....inaonekana hamna plan ya wakati wa emergency kama ambayo ipo mbele yetu sasa hivi.
mlipuko umetokea katika substation ya tanesco ubungo na si songasi, kilichosababisha moto ni feeder moja ililipuka hapo kwenye substation, na ilsababishwa na itilafu ya umeme, moto ulizimwa dakika chache baada ya tukio.
mkuu, hapo kwenye red: Hiyo siyo intelligence bali ni cleverness!!!
tulikua tunaendelea na kazi lakini hadi sasa hakuna matarajio yoyote, tumeshindwa na spea hakuna. Inabidi iagizwe ujerumani kwenye kampuni ya bosch.
Hakuna matarajio ya kupata umeme siku za karibuni.
hawa ccm wajanja sana. Ili tusahau katiba, wanatuletea breaking news. Ikipita hii kama issue ya katiba itakuwa haijakaa vizuri kwao watagongesha hata treni hawa.
Im just thinking loud.
Tutaishi maisha ya kubangaiza na wasiwasi hadi lini??
Huu umeme imekuwa ni kansa sasa.
No wonder mpango wa dharura upo njiani....