Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Miaka Hamsa ya Uhuru...
Hawa ccm wajanja sana. Ili tusahau katiba, wanatuletea breaking news. Ikipita hii kama issue ya katiba itakuwa haijakaa vizuri kwao watagongesha hata treni hawa.
Im just thinking loud.
kumbe na wewe huwa ukijisahau unachangia mada. Nimezoea kukuona kule kwenye mambo yako yale.
Anyway, kila lenye mwanzo lina mwisho. Hili swala la umeme lipo mbioni kutatuliwa.
kilamtu kigeugeu*2
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Sophia Mgonja aliwaambia waandishi wa habari kwamba: "Hadi sasa hatujui chanzo na wala athari zake. Umememe umekatika jiji zima na hatuwezi kurudisha hadi tutakapofanya uchunguzi kuona kiwango cha uharibifu."
Alisema kifaa hicho kilichoungua kinachokadiriwa kuwa na thamani ya Dola za Marekani 500,000 (takriban Sh 900milioni) hakitengenezeki na badala yake kinatakiwa kuagizwa kingine.
Mgonja alisema mbali ya kifaa hicho vingine kama ‘Control Cable' pamoja na vikombe vya kwenye nguzo ambavyo vilikuwa havionekani kutokana na kufunikwa kwa moshi huenda navyo vimeteketea."Kuanzia sasa mafundi wanaanza kazi ya kuchunguza chanzo cha tukio hilo lakini pia kuona namna tunavyoweza kurudisha umeme kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam".
Source: Mtambo Tanesco waungua
Samahani
VOICE FROM DARKNESS!
kwa kuwa mlijua mtahojiwa juu ya ahadi ya PM Na Ngeleja bungeni wakati hamjaitimiza..Mnatuletea sinema? Vinjiti vyetu vinakufa kwenye incubators,nyama zinaoza kwenye friji.mnaekti kulipua transformer kutudivert akili zetu eh! Hapa mmenoa.hata ****** alisema za mbayuwayu changanya na za kwako.anaebisha aseme kisa kwa nini kibaka asifie uraiani kwenye wananchi wenye hasira kali akafie polisi post? I mean transformer kulipukia pale power plant ni uzembe au hujuma!
Tshs Millioni 900 zahitajika kununua kifaa kilichoharibika ktk mlipuko wa mtambo wa TANESCO:
tunahitaji maelezo ya kina kwa kweli..kutuwashia umeme kwa masaa 2 hatujawaelewahizi ni hujuma ndugu yangu hamna kulipuka wala nini