Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

Hapo watz tunataka kuchezewa mchezo wakununua ma secondhand, hizo ndo njama za kuilipua hiyo mitambo, serikali hii inanikela kwa kupuuza mambo makubwa na kutoa kipaumbele ktk mambo madogo, onasasa tumeanza kulala giza, du! hapo ni lazima tumkumbuke na richmond, ndo nia yao.
 
Back
Top Bottom