Ubungo ndo ilipo mitambo ya umeme lakini ndo panaongoza kwa mgao

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,584
4,653
Ukistaajab ya Tanzania utaona ya Ubungo

Ubungo ndipo ilipo mitambo ya Songas lakini mitaa inayopakana na kituo cha kuzalisha umeme cha Songas ndo mitaa ambayo ina migao isiyokwisha ya umeme

Mitaa ya Ubungo maziwa, Rivaside, Kibangu,Makoka, hadi Kimara hayo maeneo kwa hapo umeme ni kipengele haswa full kukatika na migao isiyokwisha
 
Poleni sana wakuu, ila kuna maeneo sisi tushasahau mgao kwa kweli🤣
 
Back
Top Bottom