MLIPUKO WA BOMU KIWANDA CHA CHUMA Mikochen

TwendeSasa

Senior Member
May 24, 2008
128
116
kuna bomu limelipuka katika kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel kilichopo jirani kabisa na MMI STEEL,.INAASEMAKANA WATU ZAIDI YA WATATU WAMEFARIKI..↲
MLIPUKO HUO UMETOKANA NA KIPANDE CHA BOM u AMBACHO KILIKUJA KAMA SCRAPES..WANAJESHI WAMEITWA KUANGALIA UWEZEKANO WA KUPATIKANA MABOM MENGINE
 
Wananchi tumekua tukiripot juu ya uwepo wa mabomu sehemu mbalimbali,mpaka leo hawajaja kuyachukua au kuyategua,mnategemea tufanyaje?niliache lilipukie kwangu?no,nalibeba kwenda kuliuza niepushe hatari kwangu.
 
Wanaonunua vyuma chakavu kuweni waangalifu sana. Bomu linajulikana wazi hata kama huna utaalamu wa kulitambua kwa urahisi; jihadhari na vyuma vilivyofungwa (closed) kwani huwezi kujua ndani kunanini. Bomu haliwezi kuwa kipande cha chuma, lazima liwe na umbile lililofungwa kuashiria kuwa kuna kitu kiko ndani.
 
kuna bomu limelipuka katika kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel kilichopo jirani kabisa na MMI STEEL,.INAASEMAKANA WATU ZAIDI YA WATATU WAMEFARIKI..↲
MLIPUKO HUO UMETOKANA NA KIPANDE CHA BOM u AMBACHO KILIKUJA KAMA SCRAPES..WANAJESHI WAMEITWA KUANGALIA UWEZEKANO WA KUPATIKANA MABOM MENGINE

Nachelea kuamini mpaka nisikie kwenye vyombo vya habari
 
kuna bomu limelipuka katika kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel kilichopo jirani kabisa na MMI STEEL,.INAASEMAKANA WATU ZAIDI YA WATATU WAMEFARIKI..↲
MLIPUKO HUO UMETOKANA NA KIPANDE CHA BOM u AMBACHO KILIKUJA KAMA SCRAPES..WANAJESHI WAMEITWA KUANGALIA UWEZEKANO WA KUPATIKANA MABOM MENGINE

Na kwa kauli ya mheshimiwa sana Bwana Shimbo ya kuwa yale yote yaliyoanguka pasipo kulipuka hayana maradha tena.........tutarajie matukio kama haya mengi tu.

Poleni wahanga
 
kuna bomu limelipuka katika kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel kilichopo jirani kabisa na MMI STEEL,.INAASEMAKANA WATU ZAIDI YA WATATU WAMEFARIKI..↲
MLIPUKO HUO UMETOKANA NA KIPANDE CHA BOM u AMBACHO KILIKUJA KAMA SCRAPES..WANAJESHI WAMEITWA KUANGALIA UWEZEKANO WA KUPATIKANA MABOM MENGINE

tusiwamini sana, mbona ana post chache tu toka 2008, anatupotezea muda ili tusifuatilie mwanza. mimi ntaamini mpaka aweke source ya kuaminika.
 
Poleni sana!

Kuna biashara kubwa ya vyuma chakavu kutoka mashariki ya DRC, sehemu kubwa ni vifaa vy kijeshi, miongoni mwake ni clusters; yaani vipande vya mabomu makubwa ambavyo hutawanyika kuwa vijibomu vidogo baada ya kulipuka, mara nyingi hivi hufanana na vipande vya chuma si rahisi kuvitambua kwa kuangalia ndio maana yanaletwa hadi kiwandani na kulipuka yanapochemshwa. Iliwahi kutokea mwaka juzi kwenye kiwanda kimojawapo cha vyma pale keko.

Udhibiti wa hizi ajali ni kufuatilia source za vyuma chakavu vinginevyo mabomu ya Gombs yataishia viwandani na hizi ajali zitaondoka na wengi!
 
It seems that we will be haunted by G'mboto calamity for sometime..... Ohh Lord!!!....
 
Haya, ndiyo uwajibikaji wa viongozi wetu! Wananchi wasio na hatia watakufa sana lakini hakuna mtu anayewajibika.
 
Back
Top Bottom