MLIPUKO WA BOMU KIWANDA CHA CHUMA Mikochen

Risk assessment in respect to exposure evaluation need to be conducted and absolute measures to be adressed otherwise people will be dying in every moment.
Take note OSH-department.
 
You can FOOL some people somtimes.... But you can't FOOL all the people all the time....
A%20S%20clock.gif

poleni wahanga
 
Kwa taarifa za Kiintelejinsia mabomu ya Gongo la Mboto yaliyokusanywa toka sehemu mbali mbali za jiji la Dar es Slaam mpaka sasa kwa uchache yamefikia 2100 (Pichani) bado yaliyozama vyooni, makaburini na hata katika baadhi ya nyumba. Watanzania mtaendelea kupata milipuko ya mara kwa mara.

attachment.php

NB
Kuna uwezekano pia SUMATRA wakafuta route za gongo la mboto baada ya kugundulika watu wanaweza kutembea kwa miguu ila ni uvivu tu ndo unao wasumbua ushahidi umeonekana wazi baada ya milipuko wiki iliyopita.

Attachments

  • Gongo.jpg
    Gongo.jpg
    66.2 KB · Views: 70
Na waliolibeba kwenye gari hadi kulileta kwenye kiwanda cha MM Steel limewakosakosa
 
Kwa taarifa za Kiintelejinsia mabomu ya Gongo la Mboto yaliyokusanywa toka sehemu mbali mbali za jiji la Dar es Slaam mpaka sasa kwa uchache yamefikia 2100 (Pichani) bado yaliyozama vyooni, makaburini na hata katika baadhi ya nyumba. Watanzania mtaendelea kupata milipuko ya mara kwa mara.

attachment.php

NB
Kuna uwezekano pia SUMATRA wakafuta route za gongo la mboto baada ya kugundulika watu wanaweza kutembea kwa miguu ila ni uvivu tu ndo unao wasumbua ushahidi umeonekana wazi baada ya milipuko wiki iliyopita.

Masa najaribu kufikiria ndio gari limekusanya limeyapeleka kwenye kiwanda cha kuyeyushia vyuma huko Mikocheni habari watakayoipata huko nimara mbili zaidi
 
Back
Top Bottom