Nadhani ni Al-Shaabab wameingilia starehe zetu mkuu.
Ni bomu mkuu, watu wengi wameumia na wamekimbizwa Selian Hospital na Mt. Meru Hospital, MUNGU awape kupona majeruhi wote.
TANZANIA LEO NI MAJANGA!
poleni sana mkuu. zidi kutupa up dates zaidi ikiwezekana hadi na picha.
Nasikia wamekufa watu kumi mpaka sasa
chadema mpo????naona mmeamuwa kuhamia bar sasahvi
Asante mkuu ..ngoja nikimbilie home Njiro fasta.
your name sums up what a waste of a person you are
Daaaah Preta wangu nzima jamani?:what:😕
Wenzetu Kenya wanafuatilia lakini sisi janga likitokea tunaliweka kapuni.Au ni njia ya kutubadilishia upepo wa Katiba?Maana joto limekuwa kali mjengoni na viyoyozi vimeshindwa kazi.
Nipo salama sana wangu.......pale siendi coz wahudumu huwa hawanihudumii..........