Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!


Vmark
habari Mkuu poleni sana!!!

Wasalimie Members wote hapo Picnic , Teacher, baba subi,Antony , chinga pale sebuleni....

Tumeshajitolea Damu kwa ndugu zetu,

pamoja sana Mkuu

Pouwa kamanda!! Tuko pamoja sana..
 
hii siri,kali inatutania. Kwa nini watu wa arusha kila mara tupigwe mabomu na wahusika hawakamatwi??? Majambazi yakiiba pesa haipiti siku mbili wameshakamatwa, au kwa sababu chadema inaongoza arusha?? Au sehemu inayoongozwa na chadema usalama hakuna????????
 
Warangi na wamissionary wengine wa namna hiyo wanaanza tekeleza mikakati liyojaaa ktk mchi hii kila idara ya vimemo..wameanza pale kwa vile..kuna umaarufu wa akina dada wenye makalio makubwa....Kwa mara ya kwanza fika pale nilikuwa nashangazwa na wahudumu....nikamuuliza chalii wa AR mmoja vipi..hao mabinti walifanyiwa interview maalumu...wakajibu..hujui hii baar nickname yake nini?inatwa M..a..t..a..k..o. bar ni wazi wale wapenda kwenda ktk GANGSTAR PARADISE kwenye mgao wa Mabikra 72 na wanaume warembo wenye macho km Lulu....wameonyesha obsession yao ya hao wanawake....wanaona wivu sana wakiwepo duniani kwani ..MAKAFIRI NAO WATAFAIDI MAPEMA KULIKO WAO..............Huu ugaidi wa CCM utapokewa mapema sana na wapenda pepo Danguro

warangi na wamissionary ndio nini mkuu? Maana hata sikuelewi unachokiandika au umekosea kuQuote?
 
warangi na wamissionary ndio nini mkuu? Maana hata sikuelewi unachokiandika au umekosea kuQuote?
utanilewa vipi km sijatumia neno wajahidina..kusema wale wanaonneza dini..warangi wapo ktk misikiti mingi sana wakilala na kueneza chuki ..wakijidai kuwa experts ktk dini pekee wanayoamini kuwa ya kweli....
 
hivi Serikali nzima ya ccm na taasisi zake, na watu wote wanataka piga vita watu wachache vita km wachaga...?Hawajui hata mjerumani hakuweza wachaga,akaja mwuingereza nae hakuwaweza ..akamnunua Marealle...waakalazimisha awe Mangi muu ili apitishe makubaliano kihuni..wapi.Nyerere naye aka adorpt hayo ila wapi..sasa vilaza kabisa wameamua ingiza serikali yote...ndio sasa CCM inakufa km membe.
 
Ndugu zangu ni siasa watawala wanacheza na maisha ya watu.hivi kwanini mabomu ni zanzibar na Arusha.kila kukiwa na madai ya mambo nyeti na muhimu kunatokea miripuko na haijawahi kupatiwa majibu kwa watu kukamatwa na Zanzibar yataanza mabomu na kuchomwa makanisa halafu tuanze kuchomana waislam na wakristo wao waendelee kutawala kwanina ni zanzibar na arusha?na kwanini hao waripua mabomu hawapatikani na wanaowaua viongozi wa dini hawapatikani?jibu katoa Mrema na Lukuvi.walosikia wamesikia,ambao hawajasikia pole!
 
Back
Top Bottom