Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

Breaking News!!!!!
Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au ------ Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........chanzo hakijafahmik
 
Yaani hii yote ni kwa ajili ya ku-divert issue ya serikali 3!!!!!?

Ama kweli CCM imechoka!Yaani inatumia damu za watu kufanikisha malengo yake!!?

Hatutaendelea chini ya CCM!

....Inasikitisha sana Mkuu

Alaaniwe aliyenyuma ya tukio hili ikibidi kizazi chake kijifunguwe m b wa !!!
 
Hao waliolipua bomu watakua magaidi wa kimuslim. Around 10% of world izilamiki population are terrorists.
 
Breaking News!!!!!
Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au ------ Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........chanzo hakijafahmik

Aisee atakama ndo chumvi hapa utakuwa umemwaga gunia zima kwenye mchuzi..
 
Hii bar c ndo inaitwa makalio-- bar, na huwa panajaa sana siku ya mechi hasa leo palifurika maana mwenye bar ni mdau mkubwa wa barcelona, na leo barcelona ilicheza na man city, so cjui lakini inawezekena japo nakaa karibu na cjasikia hizo habari.

Hahaha mkuu umepiga ngapi leo?
 
Wewe acha uongo. Eti nusu saa iliyopita wakati post y kwanza iliwekwa humu tangu saa moja usiku. Usidhani watu wote wamelala kama wewe.
 
Natoka zangu Moshi kula weekend na mchuchu....nipo kwenye Costa kama saa 1:15 usiku....naishi Njiro ila ilinilazimu kushuka mianzini maana haja ndogo ilikuwa imenishika sana......nikashuka mianzini karibu na shelii..nikatafuta chocho nikamaliza haja yangu...nakaamua kushuka taratibu kwa mguu kuelekea mwelekeo wa stendi kuu.....nilashuka salama mpaka maenea ya Roundabout ya Florida.....nikashuka mpaka nilipofika maeneo ya kimahama ndipo nikasikia mshindo mkubwa mithili ya Bomu ikitokea maeneo ya Kaloleni.....sikufuatilia sana na nikaamua kushuka zangu kwenda kuchukua hiace za njiro...nafika home ndio nackia watu wanaongelea habari ya mlipuko.
 
Why always Arusha?

Siku itafika itajulikana nani anahusika. Lakini kama ni mfuatiliaji wa mambo ni kwamba milipuko inapatikana kwa urahisi kule kwa Ole Sendeka,Mererani,Simanjiro Manyara. Milipuko ya Balozi za Marekani Nairobi na Dar na ule wa Kampala Fainali za Kombe la Dunia S.A ilinunuliwa huko!
 
Breaking News!!!!!
Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au ------ Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........chanzo hakijafahmik

hao lazima watakuwa ni "think tanks" wa CCM akina "mwigulu, nchimbi, nape na mulongo", nia ni ili CDM ichukiwe A- town ili maccm wapate sababu uchaguzi ujao, mbinu zao ni za KISHETANI NA WATASHINDWA TU.
 
CCM walisema mkiwachagua upinzani wataleta vita, sasa ili kuhalalisha kauli yao na ili wasiaibike mchana, inabidi polisiccm wawe wazembe, wasifanye kazi vizuri ili matukio kama hayo yatokee na wasema tuliwaambia as if upinzani una miliki jeshi au polisi. Tunataka taarifa na hatua za waliolipua kanisa la Catholic na mkutano wa soweto
 
Mkuu huu uchoyo wote wa nini?? Si ungejinyamazia tu? Si lazima uwe wa kwanza kurepoti jambo. Utakuwa wa maana ikiwa utaleta ripoti yenye mifupa na minofu juu yake. Siyo Skeleton. Eleza jambo tulielewe. Wengine tuna ndg huko. Wengine bado tuna mawazo fresh ya Olasiti na Unga ltd. Usitupandishe BP bure.
Mwingulu yuko wapi jamani??? Hivi yupo bungeni kweli naona kakaa kimya saana this week. Aisaidie polisi kubaini chanzo wasije sema ni kitu kibutu kwani Chagonji hachelewi

we jamaa sioni kosa lake. Ameleta habari kutokana na habari alizonazo. Hii ni kama muhtasari. Habari kamili subiri. Kama hutaki nenda kakusanye habari wewe afu uilete hyo iliyo full.
 
Breaking News!!!!!
Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au ------ Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........chanzo hakijafahmik

Mkuu hii ngoma ina saa zaidi ya nne siyo nusu saa.POLE SANA WATU WA ARUSHA.
 
Back
Top Bottom