Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

Haya mambo ya milipuko yaingizwe kwenye katiba mpya ili kuzuia milipuko isiyotarajiwa

hahahahahahhah, mkuu hiki sio kiroba ni gunia ndio utakua umekunywa!!!!!!! na ikiwezekana milipuko hiyo iweinatokea kwenye serikali zote zitakazoundwa.
 
Hii bar c ndo inaitwa makalio-- bar, na huwa panajaa sana siku ya mechi hasa leo palifurika maana mwenye bar ni mdau mkubwa wa barcelona, na leo barcelona ilicheza na man city, so cjui lakini inawezekena japo nakaa karibu na cjasikia hizo habari.

Mkuu kama unakaa karibu na haujasikia basi tumshukuru Mungu kama sio ukweli, lakini habari yako ya leo manchester city kucheza na Barcelona inanitia shaka, leo Liverpool ilicheza na Man City na Barcelona ilicheza jana na Granada na kufungwa moja bila..

Mods kama hii habari haina ukweli naomba huu uzi ufutwe tuache kutiana presha za bure
 
Wanatuchepua kuhusu kesho mjengoni...

Lakini tumewaapia hatuchepuki na kesho hata kwa generator lazima tushuhudie ushuhuda ulio mkuu kutoka kwa LISSU, MBOWE NA JUSSA
 
Yuko na mbebz wa ukweli you know... hawezi kumwacha mbebz you know HA HA HA HA LE big show le baharia ha ha ha..!

Naona leo umeazima akili ya Le mutu kidogo uposti nayo....duh..huyu jamaa le mutu kurestructure akili yake iendane na umri na mwili wake ni kazi kweli kweli.
 
Ngoja niende eneo la tukio, niko hapa tanzanite kimandolu
 
Mkuu isijekuwa ni mlipuko wa transformer...

Pole kwa majeruhi wote.

Ni bomu mkuu, watu wengi wameumia na wamekimbizwa Selian Hospital na Mt. Meru Hospital, MUNGU awape kupona majeruhi wote.

TANZANIA LEO NI MAJANGA!
 
night park a.k.a ------ bar iko mitaa ya mianzini barabara ya moshi line ile ya mambo yetu nguruwe
 
Back
Top Bottom