Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Poleni mliopatwa na adhama hii.
Naona leo umeazima akili ya Le mutu kidogo uposti nayo....duh..huyu jamaa le mutu kurestructure akili yake iendane na umri na mwili wake ni kazi kweli kweli.
Taratibu kiongozi taarifa hizi zinatoka kila upande si vema kuhoji jambo hili kwa haraka watu watakuzushia sivyo... any way hebu ngoja tupate uthibitisho...- Jamani mbona nipo hapa ndio kwanza tumetoka mpirani na sijasikia kitu mkuu au?
Le Mutuz System
CHADEMA wameigeuza Arusha kuwa sehemu ya mashaka sana!
Hapana ndio wananchi wa Arusha wanachokitaka. Heri vita inayotafuta haki.
Haya mambo tulikuwa taratibu tumezoea yakitokea kwa wenzetu, na sasa tunayashuhudia.
Mungu atunusuru na matukio haya
Kitu kama bomu kimelipuka Hapa Arusha maeneo ya MTK Bar Mianzini na kusababisha mshindo mkubwa sana.
Taarifa zinasema baadhi ya watu wameumia.
========
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko wa bomu Arusha Night Park, hakuna vifo, idadi ya majeruhi haijajulikana bado.
CHADEMA wameigeuza Arusha kuwa sehemu ya mashaka sana!
.. Nakupenda JF.
Hahaha.. mkuu toa iyo F weka CH utapata jina lake kamili
atakuaoa..!?
Breaking News!!!!!
Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au ------ Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........chanzo hakijafahmik