JAMAN ni kwenye bar la night park a.k.a ------ bar ni mlipuko wa bomu nilikuwa maeneo ya PIN point. NAPATA smin off yng mshindo uliotoka ikabidi niuache bt police wamewasili kidogo ontime cjui lengo hasa ni nn bt kwa ujumla tuwe na subra maana kila moja anasema ya kwake.
nipo eneo la tukio mkuu wa polisi ndo ameondoka muda sio mrefu, eneo limezungushiwa police line, wanaendelea na uchunguzi....
Mkuu fafanua zaidi....ni eneo gani hasaa?
Yale yale jambazi la arusha linajua hii ishu kamata haraka.Kuna taarifa zakutokea mlipuko wa bomu Jijini Arusha muda huu katika baa ya Night Park kunaripotia majeruhi na vifo nafwatilia kwa taarifa zaidi,
Maarufu kama Makali.o BarNight Park ipi hiyo mkuu?
Maarufu kama Makali.o Bar
Nipo hapa Picnic na mie nimeucikia huo mlipuko.....mmmh...ngoja niwahi home.