Vmark.
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 1,353
- 272
baada ya mataa mianzini kama unakwenda sanawari kuna bar mbili ar night park na break point
Asante mkuu ..ngoja nikimbilie home Njiro fasta.
baada ya mataa mianzini kama unakwenda sanawari kuna bar mbili ar night park na break point
Wewe bana nenda kwenye mlipuko ututumie picha...shirikiana na le mutuz yuko hapo mt meru hotel anakaa room yenye gharama sawa na kodi ya nyumba ya mwaka mzima hapa dar...plz tafadhali zingatia maelekezo haya

grin guard wanajibu mapigo. Jana mkuu wao wa arusha kakamatwa
cross posting
Unamaanisha Mjusi?
chadema mpo????naona mmeamuwa kuhamia bar sasahvi
hakuan vyama kwenye matukio kama hayo tuache siasaTanzania wapi unapelekwa na Hii serikali ya chama hiki?
Mkuu fafanua zaidi....ni eneo gani hasaa?
Yuko na mbebz wa ukweli you know... hawezi kumwacha mbebz you know HA HA HA HA LE big show le baharia ha ha ha..!