Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

the simplest solution. get some one mwenye msingi mzuri na mwenye mtazamo kama wako.

Hawa waliokuzwa wakiona baba hajawahi kufua handkerchief ni hopeless. kwanza ni WAVIVU tu hamna lingine.

wako wachache hard working, open minded AND VERY ROMANTIC but unless ana msimamo kweli na hapelekeshwi na maneno ya watu nahisi anaweza kukuchenjia huko mbele.

Yani Hawa ili mradi tu ye kaweka nne we unapilika huko, basi wanaona rahaaa. ukikaa, unamtia na kichefuchefu 😀

humu matusi na vichambo vya makungwi uchwara zoea tu...

watu wana stress. wengine wanahisi kutishwa na lifestyle za wengine sijui kwa nini. mimi nikisema sipendi house chores inakuuma nini hasa??

Mbona kuna Mtu humu alianzisha thread anaenjoy kumfanyia kila kitu mumewe, basi ni sifa mwanzo mwisho. huku matusi kwanini?

WAVIVU, watafuta cheap labor and men's attention utawajua tu.

whenever they say "man" replace it with "African man"
Nipo kwenye zoezi la kumfundisha kijana kazi za nyumbani zote, nakuandalia mume wa mwendo kasi, zile habari za mzungu achana nazo please
 
Je ni mzuri kias gani??tupia Picture .Una haiba ya kutosha mtu kuweza kukutumikia kama malkia?? ikiwa mwenzangu na mimi utaachwa mpka mwisho utakua shuga mami la kama una mvuto ,haiba ya kike unalipa bs utatafutiwa house girl ule nae sahani moja
 
wanawake mko wapi mmpe somo mwenzenu....alishavurugwa now amekariri.
 
Haya majukumu ya kumuhudumia mume yalianza tangu bustani ya eden mpaka kufika hapa tulipo huwez kuyakimbia lbda uwe umekufa. Dada yangu na wanao support huu uz acheni kuishi maisha ya kufikirika. Km ww ni mwanamke halafu unapinga majukumu yako kwa nguvu zako zote nafikiri hautakuwa na akili timamu. Hebu jitafakar mwenyew najua mtasema HAKI SAWA lkn ktk ndoa haya mambo hayapo kila mtu ana majukumu yake. Najua kuna watu waliishi hostel chuon sasa ile tabia ya kumtembelea boyfriend wako unamkuta anafua nguo mnasaidiana, mnapika wote na mnatandika kitanda wote sasa unafikir maisha ya ndoa yako hivyo. Utajikuta kila mwanaume anakukimbia akikuhurumia sana atamfanya house girl kuwa mke wa pili. Hata kama ungekuwa na cheo cha urais utampikia na kumtandikia mumeo kitanda. Huu utaratibu wa kumuhudumia mumeo upo dunian kote hata km ungeolewa na mzungu, mwarabu, mhindi n.k
Km unaona kaz kumuhudumia mumeo utaweza kweli kumuhudumia mtoto? Utaweza kumbembeleza anapolia usiku? kumnyonyesha? Kushika mavi? Kumpeleka hospitali? Kufua nguo za mtoto? N.k
Pole sana huyo mwanaume utakayempata lazma aje kutoa thread hapa JF ya kuomba ushauri.
Inabid ukaombewe hauko sawa
 
Usipate presha watakusaidia michepuko na mahausi geli hayo majukumu. Wewe tunza kucha tu
 
Kuna mtu namfahamu mpaka sasa anaelekea 40, hataki kuolewa kwa sababu tu hataki kufua nguo za mume au kuamka mapema kumuandalia mume breakfast,au kuulizwa ni kwa nini umechelewa kurudi. Hizi sampuli za watu ziko nyingi.
Je, ana watoto/mtoto ? maana umri wa kupata watoto ni miaka 35, vinginevyo, ataongeza idadi ya watoto Yatima. Kama yuko 40 hana mtoto, ina maana atapata mtoto akiwa ni miaka 45, huyo mtoto akikisha 23 wakati anaingia chuo, tayari umri wa mama umeenda. Jaribuni kuwa mnawashauri hao marafiki zenu, poda zinawadanya sana.
Hivi mke ukimuoa unajua kazi yake nn?!mke ni pambo hizo kazi kuzifanya au asizifanye ni uamuzi wake hatakiwi kushurutishwa.labda km ikiwa usafi wa mwili wake ndo unaweza kumlazmisha ila kisheria ht za kidini mkeo akikulelea watoto wako inatakiwa umlipe pesa!mkeo inatakiwa umwekee msaidizi ndani na sokoni mume ndo uende ila wengi wetu hatujielewi tu.me mke wangu ni malkia kila kitu namfanyia!yeye akifanya ni kwa mapenzi tu
Huyo atakuwa sio mke bali chombo cha starehe, kumbuka sheria za dini zinatofautiana kulingana na imani ya mhusika/wahusika, baadhi ya imani zinaelekeza kuwa mke ni msaidizi wa mwanaume. Sasa kama kama imani inasema kuwa mke ni msaidizi, iweje tena umfanyie kila kitu badala ya kusaidiana kufanya hizo kazi. Kama Baba anatafuta mahitaji ya familia, basi Mama awe anasimamia matumizi yake. Halafu mwanaume unaanzaje kwenda kuchambua na kunua bamia sokoni ukiwa umemwacha mkeo nyumbani, mimi huwa tunaenda wote maana huwa tunafanya manunuzi ya mwezi, na yeye ndo anatangulia mimi nyuma wakati mwingine nabaki kwenye usafiri, akirudi ananikuta sio kumbana mwanamke kila sehemu hata asikonyezwe.
 
tena wewe ndio wale wanaojilazimisha..hauko real...ndoa yenu imejaa unafilki real Love haiko one sided ndugu
NIna uhakika baada ya miaka 5 ijayo utakua umeshafuta hiyo kauli yako au umeshamfulia boyfriend licha ya mume.Munda ndo kipimo pekee cha kupimia msimamo wa matamshi yako
 
dah!!!! my dia We n zero!!!!!! unazan uzuri wa uso/ shape ndo vilivokufanya uwekwe ndan na uwe km YAI???? wala usituloge na idea yako finyu!!!! wengne bila kaz za ivo tunaugua nakuugua.
Mkuu nimekupenda bure!!
umempa makavu live
 
Back
Top Bottom