Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,531
- 1,570
Sijui swaumu ngoja ramadhani ipite tuone ila mi nimeona wimbi la watoto wa badoo huku!Aiseeeee naona wanawake mnazidi kupungua.
Sijui swaumu ngoja ramadhani ipite tuone ila mi nimeona wimbi la watoto wa badoo huku!Aiseeeee naona wanawake mnazidi kupungua.
Mnh mbona unanishambulia wewe dada?huyo aliyekufunda hakukuambia kuwa na stara mbele ya watu?!.... Unaniambia ni jeuri,wakali post yako imejaa kiburi.... Usijali tuko hapa kwa sababu mbalimbali kuelimishana kupass time... Nimeleta hii mada watu waangalie Vitu kwa mlengo mwingine..Umezaliwa mwaka 1983, hadi sasa bado hujaolewa sababu ya jeuri jeuri hizo za kiswahili. Sasa kama hutayafanya, umekuja kutusimulia ili tukupongeze au tukurekebishe? Kujaribu kumrekebisha mtu kama wewe ni upotevu wa muda, 2016 - 1983 = 33yrs unakaribia menopause
Hapana Rebby,mmeo akiwa disabled utamkimbia na kuwa mchepuko,dalili ziko wazi.
sio kawaida atakuwa na malaria.Akikua atajua majukumu yake
Pole sanaHivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Kama mama yako alifanya kwa baba ako, utakua mzito kuelewa.Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Maneno kuntu[emoji109] [emoji122]Hayo waga mnaongea kipindi hichi cha ukuaji,unachagua mume umpate wa aina gani,mara sijui awe handsome na tajiri,awe mrefu n.k,,,,ngoja muda ukitupe mkono utaona utakavyo zunguka kwa waganga ukizan umelogwa usiolewe,,maisha yanabadilika dada,usizani kila siku ni ni j2, ringa wakati wako huu ila itafika kipindi utamtafuta hata wa kumfulia vyupi na kumkata kucha humuoni.
Ukitaka I we hivyo ukae nyumbani,nakuachisha kazi. kazi itakuwa kuangalia watoto ,majukumu ya nyumbani,kujipodoa na kutoa uroda basiii.wanaomshambuliaaaa utafikiri wao wanaplaybparty zao kama wababa nawakati humu kila siku oooh wanawake ni wabinafsi na hwla zao, mara majukumu ni kusaidiana[emoji1] [emoji1] [emoji2] ukitaka kusaisiana majukumu uwe una maaniaha kweli sio nusu nusu!
my stand[emoji15] yale majukumu ya mama naturally akiyatimiza na baba akatimiza yake ndoa itanoga sana mabadiliko yafanyike kwa mapenzi! haimaanishi muwalundikie wanawake mikazi 40 years keahazeeka[emoji12] it is so romantic mama/ baba afanye majukumu ya ki biblia ama qurani .
Ukitaka I we hivyo ukae nyumbani,nakuachisha kazi. kazi itakuwa kuangalia watoto ,majukumu ya nyumbani,kujipodoa na kutoa uroda basiii.
Mpk hapo mtakavyoona mapenzi sio utumwa...
the simplest solution. get some one mwenye msingi mzuri na mwenye mtazamo kama wako.Mnh km Uzungu ni kutofanya haya yote uliyoyataja then bora nitafute mzungu at least wako sophisticated..
HAKUNA UTUMWA?!
Mnh mume akipatwa ulemavu ama ni disabled na nimempenda nitasaiidia kwa kuwa HAJIWEZI..nielewe?.! sio mtu nzima na miguu yake mzima wa kichwa na mwili awe km mtotoNi ajabu ashindwe kumhudumia
mme mzima aweze kumhudumia mme mlemavu!!!!
Mapenzi ni wajibu ukimpenda mme wako haitakuwa mzigo. Kutandika siyo kazi lkn mawazo yako ulivyoandika una tatizo la kisaikolojia pole kwa sababu utapata mme na utaachika. Utaterekezwa na watoto kama unauwezo wa kuzaa, lkn inaonekana hauna hata uwezo huo
better stay singleHivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Mwanamke usiyejitambua wwHivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]