Nakueleza wewe kuwa unatimiza neno la wakati LAODIKIAAt least mkuu umewaelezea HAWA mburulazi kuwa muda ukfikaa mie nitafuata mkondo....kwa Sasa rebeca bado hajambrushia viatu mumble LOLS
Hivi wewe kitanda chako unacholalia, chakula unachokula na nguo unazovaa huwa inakuja naturally kufua kupika na kutandika au huwa unajilazimisha?Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.![]()
![]()
![]()
nashukuru kama mpo, natamani niwaite wanawake wote mje mchangie chochote maana hapa tupo wanaume watupu anaona kama tunamuoneaTupo mi mwenyewe nashindwa kumshangaa shost sijui kapata zanzi for lunch!
hivi kwa nini mwanamke asubiri kutunzwa, kupewa nahitaji, kuhongwa na kwa nini ajivunie mme.Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.![]()
![]()
![]()
Huyu sijui katoka planet gan halafu mbishi anajifanya anaujua uzungu! hapo hata umuulize best couple atakujibu beyonce na jay Z wakati wazazi wake wana miaka 30 ya ndoa!nashukuru kama mpo, natamani niwaite wanawake wote mje mchangie chochote maana hapa tupo wanaume watupu anaona kama tunamuonea
Kila Mwanaume bila kulazimishwa anfanya kazi zote za ndani wakati mkewe akiwa amesafiri au anaumwa. Ila tatizo linakuja pale mwanamke anapokuwa yupo na haumwi ila analeta HAKI ZA BINADAMU kwenya familia (ndoa), ikitokea akaumwa na kulazwa hospitali atatoka huko aje apike, afue, aoshe vyombo halafu arudi kulazwa.Mnh haya dada ENDELEA kufanya hizo kazi kwa mumeo..
Mie nitaolewa na my best friend,Father to my kids..wengine wameniponda Ila nataka kulea watoto kny misingi ya upendo kwa wote.
.....nataka wanangu wakioa/kuolewa wafate misingi yetu wazazi wao sio mama anaumwa mtoto hawawezi hata kutengeneza chai!? (wa kiume)
Wewe Dada, usiseme hivyo, kuna nikiwemo mimi huwa wanawasaidia wenzi wao kufanya kazi ulizotaja hapo juu. Kwa mfano mimi nikiwa nyumbani week'nd sipendi kuona mwenzangu ana lundo la nguo akichukua muda mrefu kufua, miye huwa nmasaidia kuzifua yeye anazisuuza na kwenda kuanika. Hilo neno la mwisho ulilotumia sio zuri, kumbuka maneno huumba, ukimtakia hivyo mume wako ni lazima ndoa yenu itaanza kuyumba, hicho ni kipimo cha hali ya juu cha utovu wa nidhamu. Nina imani kuwa ukimwomba mwenzio kwa nia nzuir akusaidie miongoni mwa kazi tajwa hap juu, atakusaidia tu. Hata hivyo, kweli kutandika kitanda na kuandaa chaula cha familai yako na vyenyewe unaita kazi !!!?? Halafu watoto wako utawaleaje !!!
heri yako wewe dadaangu, siku njemaHuyu sijui katoka planet gan halafu mbishi anajifanya anaujua uzungu! hapo hata umuulize best couple atakujibu beyonce na jay Z wakati wazazi wake wana miaka 30 ya ndoa!
Kitanda tulicholalia sio nilicholalia naomba nikusaishe hapo,of course both of us we are responsible kwa kitanda..?...sijjui huu wito unakujaje Yaani anakuja nyumbani na brief case unampokea mnh kuwa real!!Hivi wewe kitanda chako unacholalia, chakula unachokula na nguo unazovaa huwa inakuja naturally kufua kupika na kutandika au huwa unajilazimisha?
Kama vinakuja naturally basi na kufanya ya mumeo itakuja naturally, kama vya kwako huwa unajilazimisha basi na vya mumeo itabidi ujilazimeshe maana hakuna namna nyingine.... Vinginevyo opt u-single mom yaishe.
Je, ana watoto/mtoto ? maana umri wa kupata watoto ni miaka 35, vinginevyo, ataongeza idadi ya watoto Yatima. Kama yuko 40 hana mtoto, ina maana atapata mtoto akiwa ni miaka 45, huyo mtoto akikisha 23 wakati anaingia chuo, tayari umri wa mama umeenda. Jaribuni kuwa mnawashauri hao marafiki zenu, poda zinawadanya sana.Kuna mtu namfahamu mpaka sasa anaelekea 40, hataki kuolewa kwa sababu tu hataki kufua nguo za mume au kuamka mapema kumuandalia mume breakfast,au kuulizwa ni kwa nini umechelewa kurudi. Hizi sampuli za watu ziko nyingi.
Nikuulize swali binti yangu.Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.![]()
![]()
![]()
Atakuwa mgeni eti eeh au anatafuta kiki!
mapenzi hayako one sided, nini hiki naona unashindwa kutetea point yako, kama hayako one sided ndo ujjue kuwa mwanaume anaplay part yake ndo maana hawezi kukuomba hela ya boxer lakini ww had ya ped unaombatena wewe ndio wale wanaojilazimisha..hauko real...ndoa yenu imejaa unafilki real Love haiko one sided ndugu
Basi we Ndoa isikie tu kwa wenzio by the way si watu wote lazima waoleweHivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.![]()
![]()
![]()