Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

hii thread imenifanya nicheke sana badala ya kusikitika
Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Hiv uko serious kweli na ulichokiandika?
Huyo mwanaume atakaye kuoa lbd umuumbe mwenyew.
Kama ni yale mapenz ya girl na boyfriend
Uko sahihi kbs sbb mtakutana kwa ajili ya show ya kibabe then baada ya hapo kila mtu na njia yake.
Hata km ungekuwa na pesa km bakhera au bill gate kwa mwend huu utaachika tu.
Ha! Ha! Ha! Ha!
Natafuta hebu mpe somo huyu naona hajielewi
 
Wanawake wa mjini ni waajabu kupika na kufua unaona kazi sana.

Kuna wanawake wenzako huko kijijini wanalima ,kukata kuni,kufyatua matofali nk.
Wewe inaonekana hata kufua nguo yako ya ndani huwez.i
Kazi za kiume hizo I bet wanaume mliojibu kwa kashfa kny hii thread..HAWAZIWEZI!!!ila wakiambiwa washirikiane na wake zao kwa kazi ndogo ndogo..wanakuwa wakali
 
Kazi za kiume hizo I bet wanaume mliojibu kwa kashfa kny hii thread..HAWAZIWEZI!!!ila wakiambiwa washirikiane na wake zao kwa kazi ndogo ndogo..wanakuwa wakali

Na kazi za kike ni zipi?
 
Wewe Dada, usiseme hivyo, kuna nikiwemo mimi huwa wanawasaidia wenzi wao kufanya kazi ulizotaja hapo juu. Kwa mfano mimi nikiwa nyumbani week'nd sipendi kuona mwenzangu ana lundo la nguo akichukua muda mrefu kufua, miye huwa nmasaidia kuzifua yeye anazisuuza na kwenda kuanika. Hilo neno la mwisho ulilotumia sio zuri, kumbuka maneno huumba, ukimtakia hivyo mume wako ni lazima ndoa yenu itaanza kuyumba, hicho ni kipimo cha hali ya juu cha utovu wa nidhamu. Nina imani kuwa ukimwomba mwenzio kwa nia nzuir akusaidie miongoni mwa kazi tajwa hap juu, atakusaidia tu. Hata hivyo, kweli kutandika kitanda na kuandaa chaula cha familai yako na vyenyewe unaita kazi !!!?? Halafu watoto wako utawaleaje !!!
Mnh haya dada ENDELEA kufanya hizo kazi kwa mumeo..
Mie nitaolewa na my best friend,Father to my kids..wengine wameniponda Ila nataka kulea watoto kny misingi ya upendo kwa wote.
.....nataka wanangu wakioa/kuolewa wafate misingi yetu wazazi wao sio mama anaumwa mtoto hawawezi hata kutengeneza chai!? (wa kiume)
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.
Ukikuwa utajua maana
 
Hivi mtaacha lini ufilipino??
Wanashinda sana instagram kuangalia maigizo ya kina wolper, anty, luby na zari....Hata hawajiulizi kwanini mengi alimuoa Jackline? alisema ni sbb anafanya majukumu yake as an african woman and wife! Anafua hahitaji mashine, anatunza nyumba yake hahitaji made kumtandikia! Sasa huyu Bangayeye aendelea kusema i cant do hadi awe disabled!
 
Mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kwa vile hujaingia kwenye ndoa upo sahihi lakini siku ukiingia utatuletea tena uzi mwingine ngoja apate Wanaojua kufanya hayo ambayo huyawezi. Ndo utajua nini maan ya ndoa
 
Back
Top Bottom