Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.![]()
![]()
![]()
Ukitaka I we hivyo ukae nyumbani,nakuachisha kazi. kazi itakuwa kuangalia watoto ,majukumu ya nyumbani,kujipodoa na kutoa uroda basiii.
the simplest solution. get some one mwenye msingi mzuri na mwenye mtazamo kama wako.
Hawa waliokuzwa wakiona baba hajawahi kufua handkerchief ni hopeless. kwanza ni WAVIVU tu hamna lingine.
wako wachache hard working, open minded AND VERY ROMANTIC but unless ana msimamo kweli na hapelekeshwi na maneno ya watu nahisi anaweza kukuchenjia huko mbele.
Yani Hawa ili mradi tu ye kaweka nne we unapilika huko, basi wanaona rahaaa. ukikaa, unamtia na kichefuchefu 😀
humu matusi na vichambo vya makungwi uchwara zoea tu...
watu wana stress. wengine wanahisi kutishwa na lifestyle za wengine sijui kwa nini. mimi nikisema sipendi house chores inakuuma nini hasa??
Mbona kuna Mtu humu alianzisha thread anaenjoy kumfanyia kila kitu mumewe, basi ni sifa mwanzo mwisho. huku matusi kwanini?
WAVIVU, watafuta cheap labor and men's attention utawajua tu.
whenever they say "man" replace it with "African man"
Kumbe una akili akili eeeh....Mimi nilifikri hicho kichwa kimeharibiwa na £££$$$$$$$ tu!hii kitu iko automatic tu mamii, utajishangaa unafanya tu tena bila kushurutishwa.
Mambo ya kusaidiana itategemea na mwanaume uliyenae(malezi yake pia) na aina ya mahusiano mlionayo, ila huwezi kumwambia mwanaume eti "sitakupiki,kukufulia,kutandika kitanda....nk"
mwanamke ni mlezi wa familia so ktk huo ulezi hayo huambatana pia.
Kiki tu hii kwani Hana la maana
Kumbe una akili akili eeeh....Mimi nilifikri hicho kichwa kimeharibiwa na £££$$$$$$$ tu!
Point!Ukijua kwanini umeolewa/umeoa haikupi shida kutimiza majukumu
Nyie wanawake wa siku hizi pasua kichwa sana! Sasa huyu alieleta thread anashangaa kupika,kufua,kutandika kitanda, seriously? Hii ni mada kweli ya kujadili? Kufua kama kazi nunueni mashine. Kupika chakula unachokula na mumeo napo tupangiane zamu? Kutandika kitanda nayo ni kazi ya kujiuliza?hapana sio kiki, hivi unadhani hizo chores tunazozifanya tunazipenda sanaaaaa! basi tu hizi tamaduni zinatufanya tusiwe na jinsi maana usipofanya basi unaonekana kama an elien, na kila mtu atapata cha kuongea.
sasa ikitokea anaeongea kuwa hapendi msimshupalie sana ni kweli hatupendi(nimeongelea kundi kubwa) ila ndio vile tena
nani akuoe sasa? wapo watoto wazuri tena wabichi wanaoweza kufanya haya! wewe endelea kusubili disabled! sikuizi ndoa zinatafutwa dada! ohooh!Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.![]()
![]()
![]()
Walio fundwa hilo sio tatizo, ila kama mahusiano yameanza Disco ni ngumu
Nyie wanawake wa siku hizi pasua kichwa sana! Sasa huyu alieleta thread anashangaa kupika,kufua,kutandika kitanda, seriously? Hii ni mada kweli ya kujadili? Kufua kama kazi nunueni mashine. Kupika chakula unachokula na mumeo napo tupangiane zamu? Kutandika kitanda nayo ni kazi ya kujiuliza?
I missed you too!! ulipotelea wapi? au toka uende kufwata ile hela ndo umetoka Leo? 😀hahahaaaaa!! nilikumiss.
ustaarab unaujua wewe?* wewe hutakiwi kabisa kusema hayo mbele za jamii iliyostarabika.....
😀 asante mkwe. umenipunguzia gharama ya visaNipo kwenye zoezi la kumfundisha kijana kazi za nyumbani zote, nakuandalia mume wa mwendo kasi, zile habari za mzungu achana nazo please
I missed you too!! ulipotelea wapi? au toka uende kufwata ile hela ndo umetoka Leo? 😀
how significant are the differences btn the sexes and how important are they in this era?Nimecomment kabla ya kusoma hii. Umemweleza ukweli. Kamweleze pia hata sisi tuna majukumu yetu. Mfano ni jukumu langu kuhakikisha kaya wangu naihudumia kwa kutoa pesa na kuilinda. Usiku nje ukisikia pwaa ni lazima nitoke na upanga siwezi kumtuma mtoto wala mke wangu. Kama tupo wote na mtu akatupa jiwe lazima nikukinge linipige mimi baadala ya kuharibu reception ya mke wangu etc.