Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu.....?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa DISABLE....
Hukufundwa, umeiga uzungu, hujui majukumu ya mke ndani ya ndoa. Ukiona katulia ujue kuna anakopata faraja ua kuwa mwanaume!! ni ngalizo tu. wacha uzungu ukuharibu, na utaharibu ndoa yako mweyewe kwa mikono yako. Ni hivyo kuitwa mwanamke??????........................ ushaelewa
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu.....?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa DISABLE....
Wewe Dada, usiseme hivyo, kuna watu wengi tu nikiwemo mimi huwa wanawasaidia wenzi wao kufanya kazi ulizotaja hapo juu. Kwa mfano mimi nikiwa nyumbani week'nd sipendi kuona mwenzangu ana lundo la nguo akichukua muda mrefu kufua, miye huwa nmasaidia kuzifua yeye anazisuuza na kwenda kuanika. Hilo neno la mwisho ulilotumia sio zuri, kumbuka maneno huumba, ukimtakia hivyo mume wako ni lazima ndoa yenu itaanza kuyumba, hicho ni kipimo cha hali ya juu cha utovu wa nidhamu. Nina imani kuwa ukimwomba mwenzio kwa nia nzuir akusaidie miongoni mwa kazi tajwa hap juu, atakusaidia tu. Hata hivyo, kweli kutandika kitanda na kuandaa chaula cha familai yako na vyenyewe unaita kazi !!!?? Halafu watoto wako utawaleaje !!!
 
Hukufundwa, umeiga uzungu, hujui majukumu ya mke ndani ya ndoa. Ukiona katulia ujue kuna anakopata faraja ua kuwa mwanaume!! ni ngalizo tu. wacha uzungu ukuharibu, na utaharibu ndoa yako mweyewe kwa mikono yako. Ni hivyo kuitwa mwanamke??????........................ ushaelewa
Mnh km Uzungu ni kutofanya haya yote uliyoyataja then bora nitafute mzungu at least wako sophisticated..
HAKUNA UTUMWA?!
 
dah!!!! my dia We n zero!!!!!! unazan uzuri wa uso/ shape ndo vilivokufanya uwekwe ndan na uwe km YAI???? wala usituloge na idea yako finyu!!!! wengne bila kaz za ivo tunaugua nakuugua.
tena wewe ndio wale wanaojilazimisha..hauko real...ndoa yenu imejaa unafilki real Love haiko one sided ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom