Haya majukumu ya kumuhudumia mume yalianza tangu bustani ya eden mpaka kufika hapa tulipo huwez kuyakimbia lbda uwe umekufa. Dada yangu na wanao support huu uz acheni kuishi maisha ya kufikirika. Km ww ni mwanamke halafu unapinga majukumu yako kwa nguvu zako zote nafikiri hautakuwa na akili timamu. Hebu jitafakar mwenyew najua mtasema HAKI SAWA lkn ktk ndoa haya mambo hayapo kila mtu ana majukumu yake. Najua kuna watu waliishi hostel chuon sasa ile tabia ya kumtembelea boyfriend wako unamkuta anafua nguo mnasaidiana, mnapika wote na mnatandika kitanda wote sasa unafikir maisha ya ndoa yako hivyo. Utajikuta kila mwanaume anakukimbia akikuhurumia sana atamfanya house girl kuwa mke wa pili. Hata kama ungekuwa na cheo cha urais utampikia na kumtandikia mumeo kitanda. Huu utaratibu wa kumuhudumia mumeo upo dunian kote hata km ungeolewa na mzungu, mwarabu, mhindi n.k
Km unaona kaz kumuhudumia mumeo utaweza kweli kumuhudumia mtoto? Utaweza kumbembeleza anapolia usiku? kumnyonyesha? Kushika mavi? Kumpeleka hospitali? Kufua nguo za mtoto? N.k
Pole sana huyo mwanaume utakayempata lazma aje kutoa thread hapa JF ya kuomba ushauri.
Inabid ukaombewe hauko sawa