Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

Nyie mtahangaika sana. Tofauti ya mwanamke mwenye mtoto na asiye na Bikra ni ndogo sana.

Bila Bikra hakuna huwezi jivunia una mke. Na hata wakiambiwa watoke wenye wake ukitoka utakuwa mwendawazimu.

Nyie mnaowaponda Single Mother hamna tofauti na mtu mwenye chongo kumponda mwenye kengeza.

Mke halali ni yule uliyeoa akiwa na Bikra. Hao wengine ni Gume gume tuu.
 
Pole mkuu, tatizo wewe umeoa alioachwa na siyo aliyeacha.
Mwanamke akiacha Mara nyingi huwa harudi nyuma, ila akiachwa ni rahisi.
Hakuna Mambo Kama hayo.
Mwingine anaweza kuwa alimuacha jamaa kwa kuwa hana hela au haoneshi kumuoa.
Lakini alikuwa anamkuna vilivyo.
Stress alizonazo zikiisha anarudi tu.
 
Binadamu wakishavuliana nguo huingia kwenye maagano,yaani Luna nguvu flani ya asili huwaunganisha,haijalishi muda gani utapita lakini wakitaka kukumbushia ni simple tu
Ni kweli mkuu mm wanawake wote niliowagegeda tukaachana kwa usalama nikiomba napewa hata kama kaolewa
 
Haya mambo yanahitaji mwanaume aliyekomaa kiakili ili kuyafanya yaende sawa. Ukiwa na akili za kichuo chuo hutaweza kuwaelewa hawa watu.
 
Hizo habar zakuoa masingo maza inahitaji uelewa wahali ya juu, Sisi wanaume wakawaida tunajidanganya tuu hatuna huo uelewa.
Inahitaji mwanaume anaeweza kuelewa nakukubali kua mkewe analiwa au anaweza kuliwa namzazi mwenzie nawewe kama mume huna uwezo wakuzuia hilo zaid yakua mpole tu.

Nkifikia miaka 65 naweza kua mature kufikia hio level ila bado sana kwasasa
 
Aisee ni kweli,kuna dada mmoja nilizaa nae alipoolewa bado akataka mahusiano najiuliza wanaume mnaoishi na wamama wenye watoto mmekosa wasichana kweli,mna roho ngumu sana hongereni sana.
 
Hapana mkuu wengi wametulia sana labda kama we ulimpata mapepe tu!
Mapepe ni mapepe tu iwe kazaa au hajazaa!
Siku hizi single moms ndo habar ya mujini!
Ukitaka kufa haraka we date na wanavyuo mkuu hawajazaa lakini ni makahaba kuliko wa Ohio
Fact!
 
Hata wanawake waliolewa na mwanaume mwenye mtoto wanastahili pongezi za kiwango cha standard gauge. Labda Mama mtoto awe amefariki.
 
Na ukimpata aliyetulia wanajua kupendakudhinda ambaye hajazalishwa

kwanza hababishwi na wanaume
Wengi wao hawanywi pombe sio watu wa starehe kuliko haya mapopoma

Wanatambua kila binadamu ana mapungufu pia ni wavumilivu unapokuwa huna pesa kuliko haya mapopoma

ukitaka akuheshimu zaidi mpende sana mtoto wake,muadhibu panapostahili,mpe zawadi na pongezi panapostahili.
Watu wengi wanakosea wanawapenda watoto wa hawa single parent bila kuwaadhibu wanapokosea..

MWANAUME NI CHANZO/CHIMBUKO LA UPENDO HIVYO HUNA SABABU YA KUHITAJI KUPENDWA NA MWANAMKE ZAIDI YA HESHIMA
Ukimuadhibu mtoto wake hata kama kweli amekosa atalalamika unamuonea mtoto wake, kuoa single mother ni sawa na kuvaa mabomu
 
Shida ni idadi ya watoto
unachotakiwa kufanya watoto AU mtoto uliemkutanae unamultiply by 2 then ilo jibu ndo watoto unaotakiwa kumzalisha apo awezi kukusumbua tena kwenye uo ukoo wako
 
Back
Top Bottom