Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
Hakika Uzi haujashibaTupe mkasa huo
Ilibidi atuweke wazi kwa kila kitu kilichotekea
Hakika Uzi haujashibaTupe mkasa huo
Ndege wafananao huruka pamoja, mwanaume dhaifu anazaa na mwanamke dhaifu piaMi nimezaliwa uswazi kabla ww hujapanda treni kuja kusoma dar mkuu, hamna habari ya mjini kumzalisha mwanamke afu hutaki kumwoa unamwacha adange huo ni upumbavu tu, single mom ni zao la mwanaume dhaifu hamna habari ya mjini hapo
Ohooooo!!!wapo waliotulia lakini ni bahati kuwapata ingawa wengi wao waliachwa na waliowapenda hivyo uwezekano wa kurudisha mahusiano ni mkubwa kwa kigezo cha kulea mtoto
Acheni kutuita wadhaifu. Mkiendelea tutawaita kwenye kamati ya maadili bungeni.
[emoji3][emoji3][emoji3] alete matumizi lakini sio mazoea.. Kweli! labda kama sio ulimwengu huu wa sasa.Umemwambia ukweli mtupu. Ukimwacha mwanaume. Unaanzaje kumrudia tena. Ataleta matumizi tu... Mazoea no
Mkuu maisha ya watu hayafanani kama unavo taka kumanisha wewe exprience ulionayo usii generalise it........hilo suala lina different dimension lakini wewe unalizimsha kua myopic katika maisha ya watu........Ukishaoa aliyezaa na mwanaume mwingine maana yake umekubali kuingia kwenye mitala,ndoa ya waume zaidi ya mmoja,utaishi na mkeo lakini yule aliyezaa naye ana sauti pia kwa mkeo,mkeo anaweza akakuaga anaenda kwa Mzazi mwenzake kuna masuala yanayohusu mtoto nk,hutakuwa na kipingamizi,Wala huwezi ukamzuia asiwe na namba/mawasiliano na Mzazi mwenzake,hata Kama mkeo ni mwaminifu kwako 100% bado Kama mwanaume utapungukiwa kitu
LOVE DOESN'T ASK WHYSasa complications zote hizo za nini, matatizo mengine watu wanajitakia tu
Hongereni sana kwa kuvumilia yote,nyinyi ni zaidi ya Wapinzani wa Tanzania kwa uvumilivu.
Daaaa[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sirudii tena labda niwe na uhakika Mzazi mwenzake alishakufa.
Ramadhani kareem
Binadamu wakishavuliana nguo huingia kwenye maagano,yaani Luna nguvu flani ya asili huwaunganisha,haijalishi muda gani utapita lakini wakitaka kukumbushia ni simple tu
Kulikoni?Hongereni sana kwa kuvumilia yote,nyinyi ni zaidi ya Wapinzani wa Tanzania kwa uvumilivu.
Daaaa[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sirudii tena labda niwe na uhakika Mzazi mwenzake alishakufa.
Ramadhani kareem
Vigezo gani? Masingle father nao?!Kumuoa single mother siku zote nawaambia yataka moyo mkuu wa uvumilivu.
Hata wazazi wako ukiwaambia unamuoa binti mwenye mtoto watakushangaa kwanza. Mbaya zaidi wakijua kama aliwahi kuolewa ndipo hawakuelewi kabisa na support unaweza kuikosa kabisa kutoka kwa ndugu.
Mimi ikitokea nikamuoa single mother, vigezo na masharti vitazingatiwa na akikiuka au kwa dalili zozote za mawasiliano baina yao itakuwa ticket ya kurudi kwao.
That's the point.Ndege wafananao huruka pamoja, mwanaume dhaifu anazaa na mwanamke dhaifu pia
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu udhaifu unaoongewa hapa unaujua
Mkuu
Sisi neno dhaifu kwa ujumla wake wote hatulitaki [emoji2][emoji2][emoji54]
Unakunywa bua gani? Nalipa mm...huu ni ukweli kabisaPole mkuu, tatizo wewe umeoa alioachwa na siyo aliyeacha.
Mwanamke akiacha Mara nyingi huwa harudi nyuma, ila akiachwa ni rahisi.
Ni kweli kabisa ukijifanya unalegeza utaibiwa. Kama inatakiwa kuwa kama US na MagaidiWeka mipaka ya kambi yako vizuri,,,, kwanza hakikisha mtoto awepo kwa baba yake na sio kwa mkeo,,
Pili hakikisha hana mawasiliano ya moja kwa moja na mzazi mwenzie (hapa udikteta utumike)