Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

wapo waliotulia lakini ni bahati kuwapata ingawa wengi wao waliachwa na waliowapenda hivyo uwezekano wa kurudisha mahusiano ni mkubwa kwa kigezo cha kulea mtoto
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26],akikwambia wameachana na anamtumia hela matumizi kwa ajili ya watoto wake,je huyo ni mkeo au mke wenu!
 
Hapana mkuu wengi wametulia sana labda kama we ulimpata mapepe tu!
Mapepe ni mapepe tu iwe kazaa au hajazaa!
Siku hizi single moms ndo habar ya mujini!
Ukitaka kufa haraka we date na wanavyuo mkuu hawajazaa lakini ni makahaba kuliko wa Ohio
Wacha wee, single mom habari ya mjini wapi huko, au mjini kwenu
 
Wacha wee, single mom habari ya mjini wapi huko, au mjini kwenu
Mwombeki we kaa huko huko bukoba ule senene!
Ya mjini tuachie sie mkuu!
Ila kwa faida yako acha nikusaidie mkuu
Angalia orodha ya wadangaji maarufu au madada wanaotesa wanaume mjini afu niambie walozaa ni wangapi na ambao hawajazaa ni wangapi!
Nisalimie wakina bojo huko
 
Hongereni sana kwa kuvumilia yote,nyinyi ni zaidi ya Wapinzani wa Tanzania kwa uvumilivu.
Daaaa[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sirudii tena labda niwe na uhakika Mzazi mwenzake alishakufa.
Ramadhani kareem
Weka mipaka ya kambi yako vizuri,,,, kwanza hakikisha mtoto awepo kwa baba yake na sio kwa mkeo,,
Pili hakikisha hana mawasiliano ya moja kwa moja na mzazi mwenzie (hapa udikteta utumike)
 
Mwombeki we kaa huko huko bukoba ule senene!
Ya mjini tuachie sie mkuu!
Ila kwa faida yako acha nikusaidie mkuu
Angalia orodha ya wadangaji maarufu au madada wanaotesa wanaume mjini afu niambie walozaa ni wangapi na ambao hawajazaa ni wangapi!
Nisalimie wakina bojo huko
Mi nimezaliwa uswazi kabla ww hujapanda treni kuja kusoma dar mkuu, hamna habari ya mjini kumzalisha mwanamke afu hutaki kumwoa unamwacha adange huo ni upumbavu tu, single mom ni zao la mwanaume dhaifu hamna habari ya mjini hapo
 
Sawa mtoto wa uswazi!
Ila kwa taarifa yako ni kwamba sio kila single mom katoswa kuna wengine wanaamua tu kuzaa na kuishi kivyao vyao!
Wengine ndo waliwatema walozaa nao na wengine hata alompa mimba hamjui.
 
Back
Top Bottom