M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,509
- 1,132
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujitoa mhanga pia ni kipaji
Sana tuHata wasio na watoto wanachepuka na x zao .muhimu omba Mungu upate mke mwema.
Watoto wote wa kike kwa wa kiume period!100%,Watoto wa kike wakitaka ndoa zao ziwe na amani wajitahidi kabla ya ndoa,la sivyo wawe na uhakika wataolewa na waliozaa nao,hata awe mwaminifu kiasi akishakuwa na mtoto ambaye alizaa na mwanaume mwingine mumewe hawezi akamwamini sana
Huyo akikubali ni punguaniTatizo lipo kubwa sana, yule bwana wake akisikia tu umeo atajitokeza na kutaka kuomba game tena.. una kifua mkuu?
Mmmh jamaniKuzaa zaa kama mbwa
Ni Wivu tuWako walioteleza wako waliorubuniwa, wapo wanaojielewa sana na wameapa kutorudiana na wazazi wenzao(0.1% ya wanawake wote duniani) lakini bado tatizo liko palepale,ukioa mwanamke wa namna hii upo kwenye mitala ya mume zaidi ya mmoja,humtazuia kufanya yafuatayo....
1:Kuonana na Mzazi mwenzake
2:Kuwatembelea ndugu wa"""""
3:Kupokea mahitaji ya mtoto kutoka kwa Mzazi mwenzake
4:Kushirikiana kwenye mambo ya kijamii na ndugu wa Mzazi mwenzake( misiba/ sherehe)
5:Kuitwa wifi/shemeji na ndugu wa Mzazi mwenzake nk
Kwahiyo tayari wewe unakuwa ni mume mwenza ila utakuwa unammiliki kwa 75% mume mwenzio 25%,na Kama alizaa na wanaume wawili au watatu utammiliki kwa 50% tu.
JamiiForum maana kila siku ni singo maza wame fanya vile, singo maza kafanya hiviHunielewi mimi au JF?
100%,Watoto wa kike wakitaka ndoa zao ziwe na amani wajitahidi kabla ya ndoa,la sivyo wawe na uhakika wataolewa na waliozaa nao,hata awe mwaminifu kiasi akishakuwa na mtoto ambaye alizaa na mwanaume mwingine mumewe hawezi akamwamini sana
Atakuwa anaenda kusalimia mtoto kila maraWeka mipaka ya kambi yako vizuri,,,, kwanza hakikisha mtoto awepo kwa baba yake na sio kwa mkeo,,
Pili hakikisha hana mawasiliano ya moja kwa moja na mzazi mwenzie (hapa udikteta utumike)
Mbona ulichosema kinaunga mkono nilichosema? Walikuwa wanaaminiana ndio maana baadae wakigundua walichoamini sicho wanatalikiana. Kama mtu ulikuwa unamsuspect usaliti na ukaingia nae ndoani siku ukigundua usaliti kwake utatalikiana nae? Wakati ni kitu ambacho ulikitegemea?Unafikiri waliooana halafu mwisho wa siku wakaishia kukatana mapanga,waliooana wakiwa hawaaminiani?
Aliyetoa mimba ana dhambi kubwa Sana ya kuuwa,na nikijua alishawahi kutoa mimba simuoi nng'oo,ila hata ikitokea ukaoa aliyetoa mimba kamwe hawezi kukwambia leo anaenda kuonana na aliyemjaza mimba aliyotoa,lakini single mother atakuaga tu atakwambia anaenda kwa Mzazi mwenzake kuchukua pesa za matumizi ya mtoto,hapo ndipo utajikuta taratiiibu nguvu za kiume zimeanza kupungua,JamiiForum maana kila siku ni singo maza wame fanya vile, singo maza kafanya hivi
Mi ni bora niwe na singo maza kuliko mwanamke aliyetoa mimba 3
Huyo ata akiwa kwenye ndoa hajisikii kukuongezea mtoto anaweza akaitoa hata bila kukwambia.
Msikariri maishaHongereni sana kwa kuvumilia yote,nyinyi ni zaidi ya Wapinzani wa Tanzania kwa uvumilivu.
Daaaa[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sirudii tena labda niwe na uhakika Mzazi mwenzake alishakufa.
Ramadhani kareem
Ndio naunga mkono, kwasababu huyo single mother anaweza akakuaminisha uongo Kama mtu mwingine yeyote na ukamwamini 100% halafu mwisho wa siku ikawa shida,huwezi kuoa pasipokuwa na imani na na unayemuoa ila ukijua ulikuwa unalishwa matango pori ndipo unakuja kulialia hapaMbona ulichosema kinaunga mkono nilichosema? Walikuwa wanaaminiana ndio maana baadae wakigundua walichoamini sicho wanatalikiana. Kama mtu ulikuwa unamsuspect usaliti na ukaingia nae ndoani siku ukigundua usaliti kwake utatalikiana nae? Wakati ni kitu ambacho ulikitegemea?