Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
The stupidity at its best
MajinaTuambie tukariri nini?
Na wanajua mikao mingi oa tuMm nimejiwekea malengo kuwa lazima nitaoa single mom naamini atakuwa amejifunza kwa kosa la kwanza hawezi kurudia kosa kama ana akili timamu niliteeni hao masingle mom nijitwalie mmoja ila mwenye maadili yake bora!!!
NakaziaThe stupidity at its best
Hili nenoBinadamu wakishavuliana nguo huingia kwenye maagano,yaani Luna nguvu flani ya asili huwaunganisha,haijalishi muda gani utapita lakini wakitaka kukumbushia ni simple tu
Uko sahihi kabisa,usaliti uko popote,kinachoniuma Mimi kujua kwamba leo katumiwa pesa na Mzazi mwenzake,Leo kaenda kumuona mtoto ambaye yupo kwa Mzazi mwenzake.Aisee ww dhaifu mpaka savh unalalamika??
Unavyolalamika sana unakuwa umefeli mtihani wa Mwnyz Mungu....ukiendelea kulalamika atakupa mtihani mwingine....
Wangapi wameoa bikra na wamesalitiwaa??? Kusalitiwa ni kusalitiwa tu haijalidhi amezaa au hajazaa, cha msingi kung'uta mavumbi laif liendelee