Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

Ulimbeba na hakubebeka, afadhali umetua mzigo huo, hivi na wewe haukuona mechi imeanza kwa 1-0?
Hongereni sana kwa kuvumilia yote,nyinyi ni zaidi ya Wapinzani wa Tanzania kwa uvumilivu.
Daaaa[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sirudii tena labda niwe na uhakika Mzazi mwenzake alishakufa.
Ramadhani kareem
 
Mke ni wako mna watoto wawili na bado anakupasua kichwa, sasa atampata mwanaume gani ambaye atamlea watoto wake wakati wewe upo, km mmeitishana vikao na bado mnagombana angalia tatizo liko wapi, wazazi hawawezi kuwapangia jinsi ya kuishi we angalia mwenyewe kinachoanzisha ugomvi ni nini, km anapenda tu mgombane mpe halftime tia talaka km miaka miwili hv akatulie huko
Hiyo miaka miwili ndio anaenda kuwa mzinzi anarudi kwako kachakaa, kama unatoa talaka fukuza kabisa kunguni huyo
 
Dunia kigeugeu, unamtafuta ambae hana mtt na bado unachapiwa kama kawa....

Tema mate chini
Atachapwa tu wala hakuna tatizo,lakini sitamjua mchapaji,hawezi akaniambia leo naenda kuchapwa na aliyekuwa akinichapa zamani,Ila kwa mwanaume aliyezaa naye yuko huru kukwambia anaenda kukutana na baba wa mtoto kwa ajili ya masuala ya mtoto.
 
Ndio somo tufundishe vijana wetu wa kike na kiume watumike kwa makini hadi hapo watakapoamua kuoa/kuolewa...sio kuzaa zaa tu huku na huko
100%,Watoto wa kike wakitaka ndoa zao ziwe na amani wajitahidi kabla ya ndoa,la sivyo wawe na uhakika wataolewa na waliozaa nao,hata awe mwaminifu kiasi akishakuwa na mtoto ambaye alizaa na mwanaume mwingine mumewe hawezi akamwamini sana
 
Hata wasio na watoto wanachepuka na x zao .muhimu omba Mungu upate mke mwema.
Suala sio kuchepuka tu,asiyekuwa na mtoto kwa mwanaume mwingine hata akichepuka atafanya Siri hutajua,lakini aliyezaa anayo haki ya kuonana na mzazi mwenzake hata kutumiwa mahitaji ya mtoto wao,na namba ya baba mtoto wake hataificha ataandika tu Baba Haruna,lakini namba ya X inatunzwa kichwani inafichwa sana
 
Kwa mfano binti alipewa mimba akiwa kamaliza form four,
Kijana akakataa kuhudumia mimba na mahusiano yao yakaishia hapo.

Wazazi wa binti wakalea mimba hadi kujifungua,mtoto analelewa na wazazi wa binti wanamsomesha mjukuu kama ni mtoto wao..

Mwanaume aliyemzalisha ameoa mwanamke mwingine
Binti hana mawasiliano wala hataki mawasiliano na huyo mwanaume..

Hawana mawasiliano zaidi ya miaka7 tokea binti mjamzito
Wote wanaishi kata moja


Binti akapata mwanaume mwingine anayetaka kumuoa hapo je kuna tatizo?
Tatizo lipo kubwa sana, yule bwana wake akisikia tu umeo atajitokeza na kutaka kuomba game tena.. una kifua mkuu?
 
kizazi cha sasa kina mabadiliko mengi.. wanaona vitu vingi kuwa ni kawaida tuu.. kusex na mpenz wa rafiki yako kawaida (game la kirafiki).. kusex na mtu mlieachana (kupasha viporo).nk nk.. hata hao mnaowaita single mothers..

.
.
.
wapo ambao waliteleza tuu ila trust me wanajielewa sana.. hakuna formula halisi ya mapenzi jnategemeana na data unazozikusanya wewe..
.
.
ila hakuna mtu mwenye plan za maana na mwenye focus kama single mother, tatizo lao moja tuu si mwanaume alie zaa nae.. ni mwanae aliemzaa, huyu mtoto ukifanikiwa kumteka akakupenda my friend utapewa chochote na huyu mama si moyo tu nahisi hadi mapafu!
.
.
.
bye! have a nice weekend!
 
kizazi cha sasa kina mabadiliko mengi.. wanaona vitu vingi kuwa ni kawaida tuu.. kusex na mpenz wa rafiki yako kawaida (game la kirafiki).. kusex na mtu mlieachana (kupasha viporo).nk nk.. hata hao mnaowaita single mothers..

.
.
.
wapo ambao waliteleza tuu ila trust me wanajielewa sana.. hakuna formula halisi ya mapenzi jnategemeana na data unazozikusanya wewe..
.
.
ila hakuna mtu mwenye plan za maana na mwenye focus kama single mother, tatizo lao moja tuu si mwanaume alie zaa nae.. ni mwanae aliemzaa, huyu mtoto ukifanikiwa kumteka akakupenda my friend utapewa chochote na huyu mama si moyo tu nahisi hadi mapafu!
.
.
.
bye! have a nice weekend!
Wako walioteleza wako waliorubuniwa, wapo wanaojielewa sana na wameapa kutorudiana na wazazi wenzao(0.1% ya wanawake wote duniani) lakini bado tatizo liko palepale,ukioa mwanamke wa namna hii upo kwenye mitala ya mume zaidi ya mmoja,humtazuia kufanya yafuatayo....
1:Kuonana na Mzazi mwenzake
2:Kuwatembelea ndugu wa"""""
3:Kupokea mahitaji ya mtoto kutoka kwa Mzazi mwenzake
4:Kushirikiana kwenye mambo ya kijamii na ndugu wa Mzazi mwenzake( misiba/ sherehe)
5:Kuitwa wifi/shemeji na ndugu wa Mzazi mwenzake nk
Kwahiyo tayari wewe unakuwa ni mume mwenza ila utakuwa unammiliki kwa 75% mume mwenzio 25%,na Kama alizaa na wanaume wawili au watatu utammiliki kwa 50% tu.
 
Umenenaaa!
Ukishaoa aliyezaa na mwanaume mwingine maana yake umekubali kuingia kwenye mitala,ndoa ya waume zaidi ya mmoja,utaishi na mkeo lakini yule aliyezaa naye ana sauti pia kwa mkeo,mkeo anaweza akakuaga anaenda kwa Mzazi mwenzake kuna masuala yanayohusu mtoto nk,hutakuwa na kipingamizi,Wala huwezi ukamzuia asiwe na namba/mawasiliano na Mzazi mwenzake,hata Kama mkeo ni mwaminifu kwako 100% bado Kama mwanaume utapungukiwa kitu
 
Back
Top Bottom