Mliooa wanawake wenye watoto hongereni sana

Nielekeze mkuu nitakuelewa tu.
Ukishaoa aliyezaa na mwanaume mwingine maana yake umekubali kuingia kwenye mitala,ndoa ya waume zaidi ya mmoja,utaishi na mkeo lakini yule aliyezaa naye ana sauti pia kwa mkeo,mkeo anaweza akakuaga anaenda kwa Mzazi mwenzake kuna masuala yanayohusu mtoto nk,hutakuwa na kipingamizi,Wala huwezi ukamzuia asiwe na namba/mawasiliano na Mzazi mwenzake,hata Kama mkeo ni mwaminifu kwako 100% bado Kama mwanaume utapungukiwa kitu
 
Hapo nimekuelewa Mkuu.Dah naogopa kweli mkuu
Ukishaoa aliyezaa na mwanaume mwingine maana yake umekubali kuingia kwenye mitala,ndoa ya waume zaidi ya mmoja,utaishi na mkeo lakini yule aliyezaa naye ana sauti pia kwa mkeo,mkeo anaweza akakuaga anaenda kwa Mzazi mwenzake kuna masuala yanayohusu mtoto nk,hutakuwa na kipingamizi,Wala huwezi ukamzuia asiwe na namba/mawasiliano na Mzazi mwenzake,hata Kama mkeo ni mwaminifu kwako 100% bado Kama mwanaume utapungukiwa kitu
 
Kwa mfano binti alipewa mimba akiwa kamaliza form four,
Kijana akakataa kuhudumia mimba na mahusiano yao yakaishia hapo.

Wazazi wa binti wakalea mimba hadi kujifungua,mtoto analelewa na wazazi wa binti wanamsomesha mjukuu kama ni mtoto wao..

Mwanaume aliyemzalisha ameoa mwanamke mwingine
Binti hana mawasiliano wala hataki mawasiliano na huyo mwanaume..

Hawana mawasiliano zaidi ya miaka7 tokea binti mjamzito
Wote wanaishi kata moja

Binti akapata mwanaume mwingine anayetaka kumuoa hapo je kuna tatizo?
 
Hapana mkuu wengi wametulia sana labda kama we ulimpata mapepe tu!
Mapepe ni mapepe tu iwe kazaa au hajazaa!
Siku hizi single moms ndo habar ya mujini!
Ukitaka kufa haraka we date na wanavyuo mkuu hawajazaa lakini ni makahaba kuliko wa Ohio
Makahaba wa Ohio wanapatikana kuanzia muda gani ?
 
Weka mipaka ya kambi yako vizuri,,,, kwanza hakikisha mtoto awepo kwa baba yake na sio kwa mkeo,,
Pili hakikisha hana mawasiliano ya moja kwa moja na mzazi mwenzie (hapa udikteta utumike)
point

na pesa ya matumizi ya mtoto huyo baba apeleke kwa bibi ake mtoto then bibi ndio amtumie mke wangu..ila sio direct contact mke na Baba mtoto wake aaaah weeee haipo hiyo.
 
Sawa mtoto wa uswazi!
Ila kwa taarifa yako ni kwamba sio kila single mom katoswa kuna wengine wanaamua tu kuzaa na kuishi kivyao vyao!
Wengine ndo waliwatema walozaa nao na wengine hata alompa mimba hamjui.
Aiseeh
 
Kwa mfano binti alipewa mimba akiwa kamaliza form four,
Kijana akakataa kuhudumia mimba na mahusiano yao yakaishia hapo.

Wazazi wa binti wakalea mimba hadi kujifungua,mtoto analelewa na wazazi wa binti wanamsomesha mjukuu kama ni mtoto wao..

Mwanaume aliyemzalisha ameoa mwanamke mwingine
Binti hana mawasiliano wala hataki mawasiliano na huyo mwanaume..

Hawana mawasiliano zaidi ya miaka7 tokea binti mjamzito
Wote wanaishi kata moja

Binti akapata mwanaume mwingine anayetaka kumuoa hapo je kuna tatizo?
Kwa situation kama hiyo hakuna tatizo. Wazee wa kujilipua wanaweza kuoa.
 
Back
Top Bottom