Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
unanikomoa mimi au kisangara chako zidombe tu maisha ndo haya
Nb huwezi kushindana na ulipotokea
...sawa, ss unahisi jamaa yuko sahihi au?Mimi ambaye nimeshakuwa kotekote, naelewa sana.
Been there, done that.
That firsthand experience is ginormously valuable.
lazima kuna aina fulani ya stress itakuwa inakusonga....hao rafik zako wanachangia sana ww kuwa na mtazamo huu kwenye swala la kuoa,
Mmh
Kwahiyo hiko ndio kinakufanya usitamani kuoa
Sijui nini kinawafanya mje na conclusion kuwa SITAKI KUOA. Ninachotoa hapa ni pongezi kwa waliooa kwasababu si uamuzi rahisi. Muda ukifika nitaamua kuchukua maamuzi magumu.Habari za Jumapili.
Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!
Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
Umenishangaza tu uliposema eti napondaga kuoa.Kukabidhi Mali zako kwa mwanamke asiye ndugu yako kauli ya kibinafsi
Uoga huwa upo ukiamua unaweza muda ukifika utaoa lkn usitangulize Mali zako atazifaidi mke tena asiye nduguyo je unataka uoe nduguyo ni hayo tu jpili njema
Sawa sawa vizuri changamoto zinafanana km za upinzani km ni mvulana lazima uhamie chama tawala na km unaona kuja huku ni teso endelea kubachelika mkuuNimechunguza marafiki zangu waliokimbilia ndoa hawana maisha ya furaha...
Hawanishawishi kuingia huko...
Sole fo zati mkuuUmenishangaza tu uliposema eti napondaga kuoa.
Kila la heri Mungu akusaidie upate mke wa kufanana naeSijui nini kinawafanya mje na conclusion kuwa SITAKI KUOA. Ninachotoa hapa ni pongezi kwa waliooa kwasababu si uamuzi rahisi. Muda ukifika nitaamua kuchukua maamuzi magumu.
aiseee!! na wewe ni lecturer?Sina mpango wa kuoa janamke Leo wala kesho.. Mtoto ninae...
Nikipandwa nyege mijanamke ipo ya kumwaga, ya kila aina, hasa hapa Chuo nachofundisha tubinti twa kupoza ugwadu tumejaa Tele...
...sawa, ss unahisi jamaa yuko sahihi au?
Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!
Hajaoa na naona hana mpango wa kuoahivi rrondo hajaoa kweli ???
Hongera nyingi mkuu, aina yenu mmebakia wachache sana.nashukuru ingawa kuna changamoto mbalimbali lakini mwezi ujao natimiza miaka 10 ya ndoa na mama watoto wangu mpendwa.
ahaaaaa aya bna