Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kabisa mkuu,umenikumbusha Mashiku bus,pia kulikuwa na super najmunisa abiria wamebanana km daladala za Gongolamboto
Mkuu super najimunisa hadi leo wapo
Kabisa mkuu,umenikumbusha Mashiku bus,pia kulikuwa na super najmunisa abiria wamebanana km daladala za Gongolamboto
pole sana mkuu
Looh ! hiyo roho inahitaji cage au mshikaji aitunze !!
Marahabaa!! Marahabaa....Binti usijeteleza bondeni kitonga, Mie bado napandisha sekenke hadi kufika Singida kama msaa 1 na nusu!!
Mbamba njuki au?
Hapana jina nmeusahau ila upo karibu na mahenge mana ukiumaliza tu town hiyo hapo
Huo nafkr utakua baada ya mahenge kuelekea lindi. Nafkr mahenge kuna milima ya hatar mana hata semi tela hazijawahi kukanyaga huko ni fuso tu
Kweli Singapore hawana ushuru hivyo vitu vinakuwa rahisi.... omba nikuletee nini?!!Asante.
Naitunza mwenyewe kwenye kwapa kama kipima joto.
Hahahahahah!!!!!!! kazana ukufike singapore atii.
Washazoea na wanaona ni mlima wa kawaida sana,lkn pamoja na kutisha kwa kitonga bado hauna rekodi kubwa ya kuangamiza maisha ya watu kama milima ya sekenke na ile ya lukumbure njia ya njombe- songea
siku hiz sekenke hakuna mlima ni barabara tu ya kawaida ila kitonga nomaaa,enzi zle tunaenda mza kupita singida na mashiku bus service ni balaa mkuu,
Mkuu hakuna mlima kuna nini pale siku izi sekenke inaua kuliko zamani
Nitakuwekea picha za matukio tofauti ya sekenke
Pale Kitonga madereva huwa wanaendesha kwa adabu ndo maana ajali haziwi nyingi, ila ule mlima ni balaa pamoja na kupita maranyingi still siuzoei, Sekenke wa kawaida tu tena sahivi walivyotengeneza ndo pamekuwa hata hapatishi, kuhusu ajali sijui ni kwanini zinatokea sana hapo
Hapana jina nmeusahau ila upo karibu na mahenge mana ukiumaliza tu town hiyo hapo
hivi kwani mlima unakuepo au unajengwa?