Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Sekenke Mbona ni binti bikira kabisa mbele ya Kitonga? Kitonga ni Shangingi lililokubuhu
....weka vigezo vya kucompare , unawezaje kufanya comparison kati ya vitu viwili bila muongozo...
Sekenke unayoisema wewe mkuu ni hii ya kuanzia 2006 hadi Leo. Mimi Sekenke nimepita 1976, 1996, 2001, 2006 kuanzia hapo napita Mara kwa Mara na miaka yote hiyo ilikuwa kila ukipita kuna mabadiliko. Kitonga nimepita 1993 kwa kweli haikunitisha kama sekenke na saranda
siku hiz sekenke hakuna mlima ni barabara tu ya kawaida ila kitonga nomaaa,enzi zle tunaenda mza kupita singida na mashiku bus service ni balaa mkuu,
wakuu namaanisha ile sekenge ya 90 na 2004 hivi ambapo palikua panatisha mbaya
Ukweli sekenke ya enzi hizo ni zaidi ya kitonga,magari yalikuwa hayaongozani kupandq,mpaka mmoja afike ndo gari nyingine ipande.
Sekenke ndo ufananishe na Kitonga? Are you serious? Hata wakati huo uusemao bado Kitango ni hatarishi mara 100 kuliko Sekenke.Saranda ni kawaida sana pale!
kwa wale watu wa kusafiri safiri sana kati ya mlima sekenge uliopo singida mlima ulioua abiria kibao kwa ajari zake yaani mkifika na basi mnasali kwanza , enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu than basi linakuja na mizigo na dereva, na mlinga kitonga wa iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?
wakati huo mlikua mkifika sekenge mnapiga dua kwanza ndo gari linapanda au kushuka mlima
Kabisa mkuu,umenikumbusha Mashiku bus,pia kulikuwa na super najmunisa abiria wamebanana km daladala za Gongolamboto
tena yale maroli yalobeba nguzo hasa ndo huwa yanatisha, alafu madereva wengne wanapita kiboya wanaovatek kwa spidi kwenye vile vikonakonj
Mlima kitonga vs mlima kilimanjaro, upi unatisha sana kwa madereva?