Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
Mlima mkali wenye dangerous road upo mahenge kwakwel pale hata kitonga haifungi mguu
Mbamba njuki au?
Mlima mkali wenye dangerous road upo mahenge kwakwel pale hata kitonga haifungi mguu
barabara ya Dom Iringa kupitia mtera, milima ya nyang'oro ndo balaa kitonga haioni ndani, sekenke hakuna mlima siku izi.
baada ya mamilioni ya miaka sekenke itakuwa tambarare
barabara ya Dom Iringa kupitia mtera, milima ya nyang'oro ndo balaa kitonga haioni ndani, sekenke hakuna mlima siku izi.
Hako kasehemu kuna suden drop ukipita na gari unajihisi kama uko kwenye rollercoaster,tumbo linakucheza fulani hivi,sasa kwa mabinti nadhani huhisi papuchi inawadondoka ndio maana wakakiita kilima nyege!Zenji kuna majina ya ajabu sana.
Huo sijapita ila nasikia sifa zake
Mbamba njuki au?
hapana jina nmeusahau ila upo karibu na mahenge mana ukiumaliza tu town hiyo hapo
Hako kasehemu kuna suden drop ukipita na gari unajihisi kama uko kwenye rollercoaster,tumbo linakucheza fulani hivi,sasa kwa mabinti nadhani huhisi papuchi inawadondoka ndio maana wakakiita kilima nyege!
Nenda pwani mchangani uone,nakushauri uvae chupi nyingi maana jinsi ulivyo wewe unaweza ukaachia samvu!acha utani bwana
Tunamshukuru Muumba imekuwa tambarare
Sekenke imepunguzwa makali,palikuwa noma pale.ila kufa kufaa mazee,zamani pakianguka gari la mizigo fasta tunaenda "kuokoa" vitu,ndo ada zetu za shule tulipatia kwa shughuli za "uokoaji"
Usijaali Naima!! Sekenke ina historia !!Mkuu sekenke si rahisi kuchukua Picha nzuri kama za kitonga kwa jinsi mlima wenyewe ulivyo. Ndio maana hizo Picha kwa mtu asiyeujua haambui kitu hapo.
Nenda pwani mchangani uone,nakushauri uvae chupi nyingi maana jinsi ulivyo wewe unaweza ukaachia samvu!
Nenda pwani mchangani uone,nakushauri uvae chupi nyingi maana jinsi ulivyo wewe unaweza ukaachia samvu!