lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #61
Hahahahahaaaaaaa , humu ndani raha tupu
mkuu kanilipua bana
Hahahahahaaaaaaa , humu ndani raha tupu
Mkuu nimekosea ,nilimaanisha njia hiyohiyo ya matemwe pale ndio kilima nyege!mkuu pwani mchangani pazuri sana kasheshe ukienda matemwe kuna sehemu kuna muinuko mkali utazani utumbo unatoka
kwa wale watu wa kusafiri safiri sana kati ya mlima sekenge uliopo singida mlima ulioua abiria kibao kwa ajari zake yaani mkifika na basi mnasali kwanza , enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu than basi linakuja na mizigo na dereva, na mlinga kitonga wa iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?
Umeshafahamu wewe il unataka ushahidi udai mali zako "zilizookolewa" zamani!hilo neno kuokoa vitu... halafu kuokoa huko kuliwapatia ada ya shule!!!.. .samahani kidogo ni KUOKOA au KUIBA???...
siku hiz sekenke hakuna mlima ni barabara tu ya kawaida ila kitonga nomaaa,enzi zle tunaenda mza kupita singida na mashiku bus service ni balaa mkuu,
Kabisa mkuu,umenikumbusha Mashiku bus,pia kulikuwa na super najmunisa abiria wamebanana km daladala za Gongolamboto
mkuu umelisahau. zuberi bus na king kross bus
wakuu namaanisha ile sekenge ya 90 na 2004 hivi ambapo palikua panatisha mbaya
Aiss kumbe wewe wa zamani...umesafiri na mashiku...enzi hizo mimi nikiisafiri na mamba safaris arusha mwanza...
Sijawahi pita njia ya sekenke. Kitonga ya kawaida sana. Pamoja na ulena wangu napita bila shida
Tatizo la sekenke ya zamani lilikuwa ni barabara maana ilikuwa ni vumbi tupu lakini ingekuwa lami zile ajali wala tusingezishuhudia kwa kiwango kile,wachina walipoanza kuweka lami wakaiamisha barabara toka kule juu kuileta huku chini ndo wamemaliza kabisa makali ya sekenke, hatari zaidi ipo sehemu zifuatazo:-
1:kitonga
2:nyang'oro
3:lukumburu
Hizo bus mnazoziongelea nyingi hamjaifaidi sekenke aliyepanda Nzega bus, Sekenke bus, USAI bus na Tanganyika bus ambalo lilikuwa linatoka Mwanza kwenda Arusha Moshi hao ndio watakusimulia sekenke ilikuaje
Ubora na mbinu mpya za technologia katika ujenzi wa barabara na uundwaji wa vyombo vya usafiri zimesaidia sana katika kupunguza hatari kwa watumiaji barabara. Nakumbuka sehemu nyingi zilikuwa zikisimuliwa ni sehemu za hatari lakini siku hizi tunaziona za kawaida sana kwani hata kwa gari ndogo unaweza kwenda kwa kasi ya 60km/h.kwa wale watu wa kusafiri safiri sana kati ya mlima sekenge uliopo singida mlima ulioua abiria kibao kwa ajari zake yaani mkifika na basi mnasali kwanza , enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu than basi linakuja na mizigo na dereva, na mlinga kitonga wa iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?
jamani kweli milima ipo, ila pia kuna barabara ya kutoka mombo to lushoto jamani hatari tupu, watu huwawanatapika kama wajawazito vile, afu conda wa burudani anakupa rambo anakwambia atakaejaza anarudishiwa nauli yake. duh
Naona kuna wanaochanganya kati ya salanda na sekenke..
Ila kwa sasa kati ya milima aliyotaja mtoa mada, kitonga ndy hatari zaidi..
Lakini kwa miaka ya nyuma, sekenke ilikua habari nyingine...hilo bonde la ufa lilitushia usalama..maana madereva hufika pale na kupaki kwanza na kuanza kukagua magari yao kabla ya kushuka au kupanda..pale kati kulikua na alama kama S..scania na jeuri yake ya kupanda milima zilikua zinapanda kwa heshima na taadhima..
Milima yote hiyo haitishi kama zamani,iliishakarabatiwa.kitonga inaweza kumtia kiwewe dereva asiye na uzoefu.Kwa ligi za zamani ilikuwa: 1. Lukumbulu Songeakwa wale watu wa Lisa fork safiri sana kati ya mlima sekenge uliopo singida mlima ulioua abiria kibao kwa ajari zake yaani mkifika na basiLisa fork mnasali kwanza , enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu than basi linakuja na mizigo na dereva, na mlinga kitonga wa iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?