Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

Ndororo mkifika dereve anawashusha kwanza wanabaki vikongwe tu ila hapo mtakapoikuta gari ndo povu litakutoka
 
Pale Kitonga madereva huwa wanaendesha kwa adabu ndo maana ajali haziwi nyingi, ila ule mlima ni balaa pamoja na kupita maranyingi still siuzoei, Sekenke wa kawaida tu tena sahivi walivyotengeneza ndo pamekuwa hata hapatishi, kuhusu ajali sijui ni kwanini zinatokea sana hapo

Aisee ni noma sana hasa ukiwa dereva mgeni ndio unaomba mungu na mikono yote jasho hadi usukani unateleza
 
Elimu yako Mkuu??? yaani umevuruga mada yote

Mkuu nadhani alikuwa na maana ya kuuliza,kwani ujue ekimu haina mwisho hivyo kama unajibu la kumtoshereza unge msaidia na kama unaona hilo ulilo mpatia poaaa
 
Waliotengeneza barabara ile ya Kitonga ni vidume kweli, ingekuwa ni enzi hizi za Ari mpya wasingeweza, ona hatq vidaraja vya Jangwani vinawashinda...Mwalimu Nyerere upumzike kwa Amani!

Ameen mkuu
 
Sekenke ilikuwa huovertake mkuu na wala hampishani wa chini anamsubiri wa juu ashuke yeye ndio aanze safari tena kama ni bus abiria mshuke driver anawasubiri halafu yeye ndio aje taratibu

basi mkandarasi alifanya kaz kubwa sana kama ni hvyo
 
basi mkandarasi alifanya kaz kubwa sana kama ni hvyo

Mimi nadhani Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa hapo serikali inastahili pongezi mtanisamehe sipo kwenye siasa na staki kuihamisha mada ihamie katika siasa
 
Aisee,tulipitaga mwaka 2008 tunaenda kwenye auditing pale mahenge,we wacha mzee.wakatati huo lami bado

kwani lazima useme ulikua unaenda mahenge kufanya nini? hizo ndo sifa zenyewe. unalala na makaratasi kudadadensa
 
Back
Top Bottom