Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

Optimist_Tz

JF-Expert Member
Jan 11, 2024
348
397
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.

Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.

Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?

Kuna wajawazito,

Kuna wa mama wenye watoto wachanga wanyonyeshao,

Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?

Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara hii kuu?

Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?

Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?

Wanaoenda misibani kuzika je itakuwaje ?

Barabara kuwa moja ni mtihani.

Zijengwe double road walau kwa kuanzia.

Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭

Nani atawajibika mwenyewe au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu?

Wananchi wanataka waambiwe mkwamo huu umesababishwa na nani?

Mbona sio salama hali hii?

Kwenu vyombo vya usalama na Viongozi wenye dhamana wananchi tunataka ufumbuzi wa haraka kuokoa hali hii hatari.

Aione RPC Pwani na Viongozi wengi wakuu.
 
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.

Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.

Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?

Kuna wajawazito,

Kuna wa mama wenye watoto wachania wanyonyeshao,

Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?

Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara kuu?

Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?

Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?

Wanaoenda misibani kuzika je?

Barabara kuwa moja ni mtihani.
Zijengwe double road walau kwa kuanzia.

Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭

Nani atawahibika au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu ?

Wananchi wanataka waambiwe mkwamo huu umesababishwa na nani ?

Mbona sio salama hali hii ?

Kwenu vyombo vya usalama na Viongozi wenye dhamana wananchi tunataka ufumbuzi wa haraka kuokoa hali hii hatari.

Aione RPC Pwani na Viongozi wengi wakuu.
Poleni sana kwa changamoto,

wamezuia pengine Hilo lorry limebeba mzigo hatari wa kijeshi, kama milipuko hivyo kuhatarisha usalama wa Hilo eneo,
 
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.

Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana...
Wabunge wanapaswa kuishikia kidedea barabara hii kubwa jamani ijengwe double hadi Chalinze na Morogoro.
Miaka 60 ya Uhuru hakuna double road hata moja inayounganisha mkoa wowote ? 😭😭🤦‍♀️🙆‍♂️
 
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.

Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.

Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?

Kuna wajawazito,

Kuna wa mama wenye watoto wachanga wanyonyeshao,

Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?

Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara hii kuu?

Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?

Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?

Wanaoenda misibani kuzika je itakuwaje ?

Barabara kuwa moja ni mtihani.

Zijengwe double road walau kwa kuanzia.

Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭

Nani atawahibika au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu?

Wananchi wanataka waambiwe mkwamo huu umesababishwa na nani?

Mbona sio salama hali hii?

Kwenu vyombo vya usalama na Viongozi wenye dhamana wananchi tunataka ufumbuzi wa haraka kuokoa hali hii hatari.

Aione RPC Pwani na Viongozi wengi wakuu.
WALILIHARIBU WAO??
KAMA LIMEHARIBKA LENYEWE TOPIC CLOSED
 
Hivi Kwani msemaji Mkuu wa hilo jeshi ni nani?
Apigiwe simu nani Masauni?
Au CDF au nani ?
Maana RPC sizani kama kwa hawa jamaa kama anaweza kusema kitu.
 
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.

Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.

Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?

Kuna wajawazito,

Kuna wa mama wenye watoto wachanga wanyonyeshao,

Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?

Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara hii kuu?

Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?

Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?

Wanaoenda misibani kuzika je itakuwaje ?

Barabara kuwa moja ni mtihani.

Zijengwe double road walau kwa kuanzia.

Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭

Nani atawahibika au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu?

Wananchi wanataka waambiwe mkwamo huu umesababishwa na nani?

Mbona sio salama hali hii?

Kwenu vyombo vya usalama na Viongozi wenye dhamana wananchi tunataka ufumbuzi wa haraka kuokoa hali hii hatari.

Aione RPC Pwani na Viongozi wengi wakuu.

Kwenye Magari haya kuna wagonjwa wanapelekwa hospital sasa mnawafikiriaje?
Iweni na huruma .
Kuna wa mama wazazi walotoka kujifungua wana hali mbaya,
Vitoto vichanga vinalia njaa mama zao masaa mengi barabarani njaa maziwa hayatoki.
 
Poleni kwa kadhia mkuu
Mmeruhusiwa muda gani
 
Ni hatari kubwa, walitakiwa wajiongeze wenyewe, jeshi haliwezi kuchukua kipaza sauti na kutangaza mzigo waliobeba,
Kuna safety rules labd kam hawakuzngatia always mnatak kuona jeshi lipo sasahv kam wao hawawez tangaz ilipaswa watoe taarfa kwa mamlak zngne
 
Back
Top Bottom