Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 348
- 397
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.
Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?
Kuna wajawazito,
Kuna wa mama wenye watoto wachanga wanyonyeshao,
Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?
Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara hii kuu?
Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?
Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?
Wanaoenda misibani kuzika je itakuwaje ?
Barabara kuwa moja ni mtihani.
Zijengwe double road walau kwa kuanzia.
Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭
Nani atawajibika mwenyewe au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu?
Wananchi wanataka waambiwe mkwamo huu umesababishwa na nani?
Mbona sio salama hali hii?
Kwenu vyombo vya usalama na Viongozi wenye dhamana wananchi tunataka ufumbuzi wa haraka kuokoa hali hii hatari.
Aione RPC Pwani na Viongozi wengi wakuu.