Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Jamaa alipigwa sana na vijana wa Chadema.
apigwe tu maaana tumechoka
Jamaa alipigwa sana na vijana wa Chadema.
Utazikwa weweWaache wazikane wenyewe.
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.
Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.
Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.
Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.
Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.
Hakuna mapya!
Ni kweli hakuna mpya lakini anathibitisha yanayo semwasemwa na ndiyo muhimu zaidi kwa vile alikuwa jikoni.Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.
Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.
Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.
Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.
Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.
Hakuna mapya!
Shonza keshapewa nauli Lumumba akamchukue mteja...Ataambatana na Shonza na Mwampamba.
Utazikwa wewe
Wamempiga wamempora simu zake na laptop pamoja na pesa.
Acha umbea umefata nin humu...Waache wazikane wenyewe.
Ndoto yake ipo kwenye buku7 tu...Wewe una ndoto gani zaidi yakujikomba?
Wewe uliyegeuka kuwa msemaji wa Mwigamba kabla hata yeye mwenyewe hajazungumza ndio unakiherehere. Acha mipasho kijana unajishusha sanaKiherehere.....!
Shonza keshapewa nauli Lumumba akamchukue mteja...
Ukiambiwa jukwaa lako ni kule kwenye Mapishi unalalama,katoe ushahidi polis....Wamempiga wamempora simu zake na laptop pamoja na pesa.
Wamempiga wamempora simu zake na laptop pamoja na pesa.