Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Nilikuwepo maeneo ya moshi leo kwa kweli kama el anategemea aina ya watu nilowaona ndo watamwingiza ikulu hakika imekula kwake, yaani leo ni fujo boda boda wamejaziwa mafuta na kupewa ya viroba walichokuwa wanakifanya ni aibu, nina uhakika magu atashinda uchaguzi huu tena kirahisi sana na hawa wabwia viroba hawataamini

Duuuhh unaongea kwa kupanik mmmhh. Pole
 
Watasema viwanja vya mashuujaa havina miti lowasa hadi ikulu tutampeleka tukiwa mafuliko

Hawachelewi maana tumewashikaa! kwa taarifa yao nyumba inayoonekana nyeupe ni mahabusu ya watoto
 
jamani, watu kama kumbikumbi.

Note: Hakuna aliyebebwa na gari, hakuna aliyepewa elfu kumi, hakuna aliyepewa tshirt au kofia.

Tshirt, madera, kofia zilikuwa zinauzwa sana pembezoni mwa uwanja wa mashujaa.

Nimeangalia ule umati nikatoa machozi. Juzi niliuona wa magufuli ila ilikuwa poa tu, watu wachaache na wengi wao waliletwa.

Ilikuwa ukitoa mguu mtu ameweka, polisi wamebung'aa tu hawajui wafanyeje. Mahakama kuu ipo pale pembezoni, wafanyakazi wote wapo kwenye fensi, macho na masikio kwa lowassa.

Tukatae tukubali, watu kama hawa huja katika kipindi cha mabadiliko na kipindi chenyewe ndo hiki.

Tunza kichinjio chako, tukutane 25 oktoba.


God bless you my president.

Pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
attachment.php


attachment.php
attachment.php
moto wa mabua huo
 
Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa
 
Wajanja wenye utimamu ka Moshi huwa wanainyoosha sana ccm sehemu ***** ka Tabora Dodoma na ukame wote hawajifunzi. Mtaji wa fisiemu ni ujinga na uelewa wa watu kwenye baadhi ya maeneo ya nchi
Kwani ile repoti magumashi ya TWAWEZWA si imesema wasiosoma ndio wanaunga mkono chama cha wafu ccm? mwaka huu wanang'oka kura za Lowasa ni nyingi mno yani kila mtu ni Lowasa Lowasa Lowasa.
 
Hatareeeeee na hii ndio Mashujaa ninayoijua mimi sio ile ya komeo ya Photoshop
 
Kiukweli nafarijika sana kuona watu wanajielewa kiais hiki.. yaani chama kimetusababishia maisha ya shida afu tuwape hapana... hapa mwendo ni Lowasa pekee Lowasa atosha
 
Mzee alishusha nyundo Jana Arusha. Leo ametupa mawe juu ya mayai hapa Moshi. Nyomi ni la balaaaaa. Magufuli amefunikwa vibaya
 

Attachments

  • 1444406321202.jpg
    1444406321202.jpg
    21.6 KB · Views: 915
  • 1444406332164.jpg
    1444406332164.jpg
    24.5 KB · Views: 849
  • 1444406356508.jpg
    1444406356508.jpg
    26.8 KB · Views: 842
Oyaa cheni utoto sasa. Yaani muungano wa vyama vinne vyote hivyo (tena nyumbani kwenye ngome ya Chadema) watu wenyewe ndio hao, halafu mnajisifia? Mwaka huu kwisha kazi yenu, mmebaki kuokoteza watu toka chama tawala ili wawaongezee nguvu lakini hamtafanikiwa.
 
Back
Top Bottom