Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Lowassa ni Rais ,,,,,,, kwanza katulia ukisikiliza point zake utapenda ......sasa hawa wa mapush up tu....MABADILIKOOOOOOOOOOO MHIMU SANA TZ IMEDHALILIKA NIKO NJE YA NCHI NI AIBU HATA KUJITAMBULISHA INABIDI USEME UMETOKA NIGERIA AU SOUTH AFRICA,,,,,,,,UKISEMA TZ UNAULIZWA KWA NINI MNAUA ALBINO NA TEMBO?...,,,,,,,Mkuu unakosa cha kusema badala yake unaanza kutukana viongozi wako na jamaa wanakuuliza tena kwani hHAMKUWACHAGUA NYIE WENYEWE?.......NOMA BORA LOWASSA/UKAWA KULIKO CCM
 
Mafuriko ya Arusha wanasema ni ya Guinea, sasa ya moshi sijui watasema ni ya Libya
 
arusha na moshi tulishafanya maamuzi siku nyingi. tuna maji, umeme, barabara, mashule na hospitali lkn ccm basi vipi nyie hamna kitu?. badilika!!!!
 
1444403354056.jpg1444403377698.jpg
 
Ila uwingi wa watu inategemea mkutano umefanyiwa wapi pia.
Maana watu wanaweza shonana kumbe uwanja Mdogo.
Jangwani ndo ilikuwa kipimo sahihi maana wote CCM na UKAWA wakimtumia same ground
 
Back
Top Bottom