Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,963
Reaction score
5,890
Jamani, watu kama kumbikumbi.

NOTE: hakuna aliyebebwa na gari, hakuna aliyepewa elfu kumi, hakuna aliyepewa tshirt au kofia.

Tshirt, madera, kofia zilikuwa zinauzwa sana pembezoni mwa uwanja wa mashujaa.

Nimeangalia ule umati nikatoa machozi. Juzi niliuona wa Magufuli ila ilikuwa poa tu, watu wachaache na wengi wao waliletwa.

Ilikuwa ukitoa mguu mtu ameweka, polisi wamebung'aa tu hawajui wafanyeje. Mahakama kuu ipo pale pembezoni, wafanyakazi wote wapo kwenye fensi, macho na masikio kwa lowassa.

Tukatae tukubali, watu kama hawa huja katika kipindi cha mabadiliko na kipindi chenyewe ndo hiki.

TUNZA KICHINJIO CHAKO, TUKUTANE 25 OKTOBA.


GOD BLESS YOU MY PRESIDENT.

PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
attachment.php


attachment.php
attachment.php
 
Nikifika kwenye pc, nitaweka picha.
 
Nishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida.
 
hizi habari za watu walikuwa wengi bila kutupa vionjo vya mkutano mzima vina bore kweli
 
Kiroba kikikolea kuna watu huwa wanalia.Naona kakiroba kameshakukolea.

TULIA WEWE. UNADHANI KILA MTU ANATUMIA HIVYO VITU.??????????? Na kama anatumia, ana tofauti gani na anyetumia JOHHY WALKER, GORDONS , CAPT. MORGAN etc. Ulevi ni ulevi tu....... MNGESE WEWE.
 
Nikifika kwenye pc, nitaweka picha.

Tafadhali usisahau mkuu.Nahuzunika sana kushindwa kupiga picha leo. Nilitaka na Team Magufuli waone halafu walinganishe na yale maneno yake kuwa Ngome ya Moshi ishasambaratika.
 
wananishangaza sana watu ambao hawataki mabadiliko.....
 
Back
Top Bottom