Sijaelewa mantiki ya tume kuweka mbali tarehe ya uchaguzi wakati WATANZANIA TAYARI WAMESHAFANYA MAAMUZI. hizi kampeni ni za kutimiza ratiba tu na kuwagunduwa wenye mental case na wakata viuno jukwaani na wapiga push up wasiokwenda gym. kwa asilimia kubwa TANZANIA hatuna undecided voters, watu wameshaamuwa tayari.Powerrrrrrrrrr!
Muda unatuangusha. Tarehe ya uchaguzi imewekwa mbali sana
Eleza sera zipo siyo kupiga kelele tu ni shidaa!! Au sera ndiyo zile zile kufungua benki ya boda boda na kumtoa babu seya.Jamani, watu kama kumbikumbi.
NOTE: hakuna aliyebebwa na gari, hakuna aliyepewa elfu kumi, hakuna aliyepewa tshirt au kofia.
Tshirt, madera, kofia zilikuwa zinauzwa sana pembezoni mwa uwanja wa mashujaa.
Nimeangalia ule umati nikatoa machozi. Juzi niliuona wa Magufuli ila ilikuwa poa tu, watu wachaache na wengi wao waliletwa.
Ilikuwa ukitoa mguu mtu ameweka, polisi wamebung'aa tu hawajui wafanyeje. Mahakama kuu ipo pale pembezoni, wafanyakazi wote wapo kwenye fensi, macho na masikio kwa lowassa.
Tukatae tukubali, watu kama hawa huja katika kipindi cha mabadiliko na kipindi chenyewe ndo hiki.
TUNZA KICHINJIO CHAKO, TUKUTANE 25 OKTOBA.
MUHIMU: MWENYE PICHA JAMANI. NILIBEBA KI-TECNO KIDOGO KILE COZ UMEME ULISUMBUA SANA LEO HAPA MOSHI.
GOD BLESS YOU MY PRESIDENT.
PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ
Usidanganye watu banah. Undecided voters tupo tena wengi tu.Sijaelewa mantiki ya tume kuweka mbali tarehe ya uchaguzi wakati WATANZANIA TAYARI WAMESHAFANYA MAAMUZI. hizi kampeni ni za kutimiza ratiba tu na kuwagunduwa wenye mental case na wakata viuno jukwaani na wapiga push up wasiokwenda gym. kwa asilimia kubwa TANZANIA hatuna undecided voters, watu wameshaamuwa tayari.
Eleza sera zipo siyo kupiga kelele tu ni shidaa!! Au sera ndiyo zile zile kufungua benki ya boda boda na kumtoa babu seya.
Walikosea kumruhusu ajitangaze yeye i.e. "CHAGUA MAGUFULI" badala ya "CHAGUA CCM". Amesha sahau anadhai yeye ni mkubwa kuliko chama na anaweza kuchagua nani ampigie kampeni hata kama siyo wa CCM.VITUKO VYA BONDIA VIMEZIDI..
baada ya kuipondaponda serikali ya CCM iliyompa jukumu la kuiwakilisha..
Na baada ya bondia huyo kujiita M4C badala ya kada wa CCM..
Bondia huyo sasa aja na kali ifuatayo..
Amnadi mgombea wa ubunge kupitia TLP,Agostino Mrema na kuachana na bwana Shirima,mgombea ubunge Vunjo kupitia CCM..
Kituko hiki kimewafanya baadhi ya makada wa CCM kuanza kukata tamaa na kujiuliza..IVI BONDIA NI CCM kweli ? au karogwa ?
Makada hao sasa wanamuombea bondia huyo asije akajiita Lowassa !
kwa maana hasikii la mganga wala la mpiga zumari..hapa kazi tuu ! haha 😀
@rif 2015
vituko vya bondia vimezidi..
Baada ya kuipondaponda serikali ya ccm iliyompa jukumu la kuiwakilisha..
Na baada ya bondia huyo kujiita m4c badala ya kada wa ccm..
Bondia huyo sasa aja na kali ifuatayo..
Amnadi mgombea wa ubunge kupitia tlp,agostino mrema na kuachana na bwana shirima,mgombea ubunge vunjo kupitia ccm..
Kituko hiki kimewafanya baadhi ya makada wa ccm kuanza kukata tamaa na kujiuliza..ivi bondia ni ccm kweli ? Au karogwa ?
Makada hao sasa wanamuombea bondia huyo asije akajiita lowassa !
Kwa maana hasikii la mganga wala la mpiga zumari..hapa kazi tuu ! Haha :d
@rif 2015
Kasikilize sera za HASHIM RUNGWE na ANNA MUGHWIRA hujafungwa mikono. kura za UKAWA hazitetereki zinasubili kumiminwa tu kuichinjilia mbali ccm.Usidanganye watu banah. Undecided voters tupo tena wengi tu.