Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Ila uwingi wa watu inategemea mkutano umefanyiwa wapi pia.
Maana watu wanaweza shonana kumbe uwanja Mdogo.
Jangwani ndo ilikuwa kipimo sahihi maana wote CCM na UKAWA wakimtumia same ground

Ni pale ambapo magufuli alipata watu 200.....pembeni kidogo kuna shule ya Secondary NOTHERNHILAND.... hiyo ni shule nliosomea mimi O-level 2010.
 
Wakuu Jana mkutano wa Arusha Lawassa alimficha vibaya Magufuli. Ila balaa kubwa ni Leo Moshi ambapo Lowasaa amefanya kufuru balaa. Huyu mtu ni mpango wa Mungu
 

Attachments

  • 1444403915105.jpg
    1444403915105.jpg
    35.1 KB · Views: 405
  • 1444403925537.jpg
    1444403925537.jpg
    21.8 KB · Views: 376
  • 1444403936688.jpg
    1444403936688.jpg
    21.7 KB · Views: 378
  • 1444403946674.jpg
    1444403946674.jpg
    24.4 KB · Views: 359
Pale magufuli na star tv wanapo tudanganya
THE SAME ARENA
 

Attachments

  • 1444404013515.jpg
    1444404013515.jpg
    49.7 KB · Views: 417
Nilikuwepo maeneo ya moshi leo kwa kweli kama el anategemea aina ya watu nilowaona ndo watamwingiza ikulu hakika imekula kwake, yaani leo ni fujo boda boda wamejaziwa mafuta na kupewa ya viroba walichokuwa wanakifanya ni aibu, nina uhakika magu atashinda uchaguzi huu tena kirahisi sana na hawa wabwia viroba hawataamini

Kwani hao wanywa viroba na bodaboda hawapigi kura unafikiri?kura yako moja na kura moja ya bodaboda/mnywa viroba zina uzito sawa.
 
Nilikuwepo maeneo ya moshi leo kwa kweli kama el anategemea aina ya watu nilowaona ndo watamwingiza ikulu hakika imekula kwake, yaani leo ni fujo boda boda wamejaziwa mafuta na kupewa ya viroba walichokuwa wanakifanya ni aibu, nina uhakika magu atashinda uchaguzi huu tena kirahisi sana na hawa wabwia viroba hawataamini

Wanywa viroba na wa huko kwenu madongo kuinama hata mlo miwili hawa afford Moshi hawanywi uchafu huo. Stress zitawaua mwaka pombe mwisho kaunta
 
arusha na moshi tulishafanya maamuzi siku nyingi. tuna maji, umeme, barabara, mashule na hospitali lkn ccm basi vipi nyie hamna kitu?. badilika!!!!

Wajanja wenye utimamu ka Moshi huwa wanainyoosha sana ccm sehemu ***** ka Tabora Dodoma na ukame wote hawajifunzi. Mtaji wa fisiemu ni ujinga na uelewa wa watu kwenye baadhi ya maeneo ya nchi
 
Hii ni hatariiiiiiiii, Ikulu haiepukiki kwa Lowassa!
 
Kiroba kikikolea kuna watu huwa wanalia.Naona kakiroba kameshakukolea.

yah ni kiroba kinachoitwa "Mabadiliko" hicho hata wewe ukinywa lazima ulie tu maana kitakufanya uone ulaghai wa ccm uliozidisha umasikini.

hebu sema pipoooz tafadhali.
 
Back
Top Bottom