Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

Uta ng'oka wewe kumbe ndo mnajidanganya na mzee wenu Kinguge rais mtalajiwa ni Makufuli hao wengine wasaka tonge ikulu wataisikia tuuuuu
 
Jamani ni shiiiiidah!Nimetoka kuongea na mdogo wangu alikuwepo uwanja wa mashujaa ananiambia hajawahi kuona!
Pia anasema mkutano wa Magufuli ilipwaya huu wa leo hata pa kugeukia hakuna!
Anasema Lowassa anapendwa haijapata tokea!

CCM ife tu hakuna namna.
 
Jamani ni shiiiiidah!Nimetoka kuongea na mdogo wangu alikuwepo uwanja wa mashujaa ananiambia hajawahi kuona!
Pia anasema mkutano wa Magufuli ilipwaya huu wa leo hata pa kugeukia hakuna!
Anasema Lowassa anapendwa haijapata tokea!

ni shida mkuu. ukinyanyua mguu mwenzio anaweka wa kwake hakuna pa kukanyaga. huwezi kugeuka
 
Mie mchepuo wangu wa mitaa ya Shant Town pale Moshi nilimwomba akienda anitumie picha. Karudi na kuniambie hata gari kaiacha huko mpaka kesho kwani hakukuwa na jinsi ya kuitoa hapo ilipo. Akaongeza kusema kwamba hata picha hakuweza kupiga kwani hakupata hata nafasi ya kunyanyua mikono juu ili kuweza kupiga picha. Anasema watu walikuwa wengi sana sana na wenye furaha. Akamaliza kusema " Lowassa ana nyota ya kupendwa "

Nishapiga marufuku mtu kukanyanga kwangu na jezi za CCM.
 
Mmbunge wa Moshi vijijini ni wa chadema...??

Mmbunge wa siha...???

Wabunge wa Same zote...???

Ulishawahi kuona wanaojielewa wanaipa kura ccm siha ilikua party ya Hai wakaimega but this time hampati kitu labda huko kwa wasio jitambua
 
Huyo ni baba wa mafisadi.

Kakufisadi nini Mkuu wangu? Tuache majungu na fitina watu wanataka mabadiliko Hata Nyerere angekuwa hai angeungana na Mzee kingunge kwenye mstari wa mabadiliko,angewaacha ninyi mngangania Gari Mbovu.
 
UKAWA wamejipanga vizuri, CCM hawana tena pa kupumulia na Pumzi imekata kabisa. Hadi kura za wazee mwaka huu zinakwenda UKAWA.
 
Mzee Kingunge alidai CCM imeishiwa mpaka ameamua kuwaleta wastaafu ili wapige kampeni.

Tuseme nini kuhusu yeye ambaye pamoja na uzee lakini kwa sasa ameamua kuwa mpiga kampeni wa Lowassa.

Hawa ndiyo aina ya watu waliotumikia taifa kwa miaka mingi na hawakufanya lolote eti leo wanaanza kusema CCM haijafanya lolote wakati kumbukumbu zinaonyesha hakukataa hata pale alipopewa Uwaziri wa kuwa waziri asiye na Wizara Maalum.

Thread ya Kingunge,
 
Mikoa yote anayopita lowasa aijaniangusha kuanzia mbeya mwanza dar Arusha kila sehemu makomea asubiri kuwa mwenyekiti Wa chama na siyo rais
 
Kakufisadi nini Mkuu wangu? Tuache majungu na fitina watu wanataka mabadiliko Hata Nyerere angekuwa hai angeungana na Mzee kingunge kwenye mstari wa mabadiliko,angewaacha ninyi mngangania Gari Mbovu.
Kama unataka ushahidi pitia hizi thread,
Chuki ya Kingunge kama fisadi kwenye serikali imeanzia kwenye thread hii,
 
moshi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Attachments

  • IMG-20151009-WA0053.jpg
    IMG-20151009-WA0053.jpg
    144.8 KB · Views: 201
  • IMG-20151009-WA0060.jpg
    IMG-20151009-WA0060.jpg
    57.1 KB · Views: 191
Back
Top Bottom