Sana natamani iwe kesho! tumpeleke Lowassa ikulu!
Nilikuwepo maeneo ya moshi leo kwa kweli kama el anategemea aina ya watu nilowaona ndo watamwingiza ikulu hakika imekula kwake, yaani leo ni fujo boda boda wamejaziwa mafuta na kupewa ya viroba walichokuwa wanakifanya ni aibu, nina uhakika magu atashinda uchaguzi huu tena kirahisi sana na hawa wabwia viroba hawataamini


