Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Dr Slaa anajenga Chama si jina lake.

Watanzania wanamuamini si kwa kuaminishwa bali hata kwa kumuangalia tu unaona kabisa dhamira yake safi.
Jina alishalijenga kitambo sasa ni chama tuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Weka picha tuone nyomi la kufa mtu. Wenzio wanapinga kuwa hakukuwa na nyomi.
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

kama umedoda si ni wao wewe inakuhusu nini ya cdm wachie wao na ccm wachie yao mkutano ukidoda wewe inakusaidia nini kama maisha yako acheni propaganda fanyeni kazi tujenge nchi
 
Mkuu Kurugenzi ya Habari,

Hizi picha sio za kweli na sijui mnafaidika nini na kudanganya watu?

Ni aibu kwa viongozi wenye madaraka kama wewe mkuu kuamua kwa makusudi kabisa kuipotosha JF.

Moderators mkiendelea kuruhusu uhuni kama huu, mtaiua JF. Hizi picha ni fake na sio za leo, ni picha za mwaka 2011.

Sad! kama tmefikia hapa basi tumeruhusu kuabudu uongo badala ya kuheshimu ukweli.

Invisible, okoeni JF, hawa watu wanaodanganya kwa makusudi kama huyu mkuu ni kupiga BAN tu.

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)

Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

wewe mbona unakuwa kama mtoto wa chekechea?
Hivi mods wamefanya kosa gani?hivi mods watajuaje kama hule ni upotoshaji au lah kama wahusika wakina Kurugenzi ya Habari na Tumaini Makene awajaja kukanusha?
Mbona mnawaandama mods nyie bavicha?
Lawyer umeanza na wewe kukamatamo buku saba??

Siamini asee.... Manake kama njaa hatujatofautiana sana:eyeroll1::eyeroll1::eyeroll1:
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

Huna akili wewe tulia kwa mumeo..........
 
Mkuu Kurugenzi ya Habari,

Hizi picha sio za kweli na sijui mnafaidika nini na kudanganya watu?

Ni aibu kwa viongozi wenye madaraka kama wewe mkuu kuamua kwa makusudi kabisa kuipotosha JF.

Moderators mkiendelea kuruhusu uhuni kama huu, mtaiua JF. Hizi picha ni fake na sio za leo, ni picha za mwaka 2011.

Sad! kama tmefikia hapa basi tumeruhusu kuabudu uongo badala ya kuheshimu ukweli.

Invisible, okoeni JF, hawa watu wanaodanganya kwa makusudi kama huyu mkuu ni kupiga BAN tu.

kwa msaada wasioelewa anachosema mtanzania

save picha kwenye computer yako kisha upload sehemu husika kupitia link hiii hapa chini.

utapata taarifa za lini picha hizi zimepigwa.

chadema mlianza vizuri ila huu upuuzi mnaoendelea nao mnatukatisha tamaa watanzania tulioanza kupata matumaini ya CCM kupat areal challenger.E

Einstein said you can not solve problems using same level of thinking that created them. Chadema hapa mnakosea.Tunafahamu hamna capacity in terms of wahamsiashaji na waendeshaji,ila si jambo zuri mkaruhusu wapuuzi wawafanyie mambo yenu.

http://exifdata.com
 
TAZAMA PICHA::

11:30 PM

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama leo. (Picha na Joseph Senga)

Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo leo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

​

​
 
Unalalamika tu, tuwekeeni hizo picha mnazodhani ni halali, sio kulialia tu!
 
Dr. Wa ukweli, rais wetu. Watasema sana ila ukweli wanaujua...
 
TAZAMA PICHA::

11:30 PM

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama leo. (Picha na Joseph Senga)

Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo leo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

​

​

hapo wajinga mtawakamata kweli, mimi nakaa hapa kahama hakuna kitu kama hicho, slaa kaangukia pua
 
Haya sasa magamba njooni mpinge tena. Mnasema picha ya zamani? Hii ni leo leo picha na Joseph Senga

Mnahangaika sana ili ionekane CDM kuna bonge la mgawanyiko. Imekula kwenu
 
Back
Top Bottom