Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

Hapa ni JF kamanda tuwekee picha zako, wenzako wameweka picha kumaliza ngebe za Ntuntemeke na kikosi chake cha buku saba. Wewe wepa mapicha yako ya leo, au MaCCM hawajakutumia bado? Wenzio tunachanja mbuga. Intellejinsia baba
 
Kwa mujibu wa sheria, mikutano yote ya hadhara kumalizika saa 12:15 jioni. Lakini nashindwa kuelewa kwanini jeshi la polisi halikumkata Dr. Slaa kwa kuzidisha muda pale Kahama katika uwanja wa CDT kwa kuhutubia mkutano wa hadhara hadi saa 12:45 jion>. NAOMBA UFAFANUZI WADAU
MUNGU IBARIKI AFRIKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!

kumbuka mmepewa miaka 5 na imebaki km 2 fanyeni hima kutekeleza/kutimiza ahadi mlizowahahidi Watanzania 2015 hamtakuja majukwaani na kusema hatuja leta MAISHA BORA kutokana Dr Slaa alianza mkutano saa 12:15
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.
Kisaikology nakuelewa kuwa ungekuwa kunako hapo ungeshatuma thrid nyingi kuwa mkutano umedoda na picha juu,wewe endelea kulia na PANYA SALIA wako ukiwa hapo CHARAMBE
 
.......and also it can not be solved by the leader who does not want to be challenged by his/her followers!
For example, if you are a chairperson of a certain organization let say CDM and you do not want your followers to challenge your leadership, then your a bad leader. In another way we can say you lack some qualities to account you as a good leader!
 
Safi sana hongera kwa kukosa hekima na busara ila fumbo mfumbie mjinga mwerevu hulingamua kama kuuliza ni kosa na unanitukana kila kheri ila kawadanganyeni wengine ila sio akina sisi .

matusi ndo dawa yenu buku 7 fc maana mnakera kwa uwongo wenu, mnashindwa kutekeleza ilani yenu ya ccm mmeng'ang'ana na chadema....

poor ccm!
 
Tunawashukuru Kurugenzi ya Habari kwa taarifa sahihi na kwa wakati muafaka. Upotoshwaji umeendelea hapa JF hasa kutoka kwa Taswira na Tuntemeke,naomba MODS muwachukulie hatua za kinidhamu kwa jamaa hawa kwa kufanya makusudi upotoshaji wa taarifa kwa maslahi yao.
Katika Mkutano huu wa Kahama inaonyesha taswira sahihi kuwa CHADEMA sio Slaa au Mbowe ua Zitto,bali CHADEMA ni Manifesto huru na halali yenye Itikadi; Sera; Sheria na Kanuni za Ukombozi wa Fikra na Maendeleo ya Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni kwa Watanzania wote wanaoitakia mema Nchi yetu.
Hongera CC kwa maamuzi ya hekima na busara na CHADEMA ITAZIDI KUIMARIKA.
 
Mheshimiwa Kurugenzi wa Habari hii picha si ya ukweli na MODs naomba muwemnahakiki hizi picha otherwise intergrity yenu itakuwa questionable. Kwanza naomba nimuulize mheshimiwa Kurugenzi wa Habari ni wapi Kahama kuna minazi maana sijawahi kuiona nikiwa kahama. Naomba ufafanuzi.

Pili hili ghorofa la orange hapo ni kama vile temeke but I could be wrong ila nilishawahi kuliona maeneo hayo au Yombo ila naomba uniambie hilo ghorofa liko mitaa gani kahama nitapita kupatafuta nina safari ya kwenda huko ila silikumbuki kuwepo kahama mjini.

Tuanzie na hayo kwanza halafu nitakuja na mengine baadae......

Ukifika huku kahama njoo ujionee ukifka uwanjanii ni pm nikuonyeshe. Unabisha wakati uko ktk laptop yako huko dar sijui temeke
 
naogopa watanzania wakiwapa nchi kwani hayo ndo yatakuwa majibu yenu pale watanzania watakapokuwa wanahoji pesa zao za ruzuku kupewa mhe. mbowe na genge lake la kaskazini
wewe mjinga, kwanini usihoji Kinana alipata wapi hela za kunulia meli;Au iweje fuska Kapuya amnunulie Benz binti aliye mbaka hadi kumuambukiza mawaya.wewe ni aina ya mashabiki wakijinga wanao takiwa kuhurumiwa.
 
kumbuka mmepewa miaka 5 na imebaki km 2 fanyeni hima kutekeleza/kutimiza ahadi mlizowahahidi Watanzania 2015 hamtakuja majukwaani na kusema hatuja leta MAISHA BORA kutokana Dr Slaa alianza mkutano saa 12:15

jibu safi sana! Mwambie aulize swali lingine!
 
Yapo mazingira ambayo akiwapo askari mwenye akili zaidi kidogo ya hizo zako hawezi kumkamata
 
Jamani Slaa kwenye mkutano ameongea nini? Aliekuwepo atupe news, je aliongelea kuungua kwa ofisi ya Arusha? Hakusema kama ni bomu limetegwa na CCM? (suicide mission)

Body without head
 
Back
Top Bottom